Waziri Makamba, nusu ya Mwanza iko gizani

Waziri Makamba, nusu ya Mwanza iko gizani

Ndo shida ya kupeana madaraka kindugu,ni upumbavu wa hali ya juu sana,kama mitambo imeboreshwa na imekuwa imara kwa nini kuwe na mgao wa umeme? Unakabidhi nchi makanjanja? SASHA haupo serious!
 
Aisee wamerudisha saa nane usiku.. January na TANESCO mnafanya mambo ya ajabu sana, mankwamisha mitikasi mingi sana ya watu basi tu
 
Simu yangu ina 3% najua unajua what is going on!
 
Kwa staili hii inatushawishi kuishi abroad tuwaachie nchi yao japo inauma kwa kuwa tunaipenda nchi yetu.

Imagine umeme unakatwa inakulazimu uwashe jenereta mafuta bei juu, Ni hasara juu ya hasara wana shawishi watu tufunge biashara zetu.

Waziri na timu yako kitengo kimewashinda kwa wenzetu hawa watu walipaswa wawe wamejiuzuru zamani sana ila kwetu sasa ni kuchekeana chekeana tu sababu ya undugulization .
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
 
Nafikiri tatizo ni kama limetokea kwa sehem kubwa.. mfano huku morogoro kuna maeneo hayakuwa na umeme mchana ,na kuna maeneo hayakuwa na umeme kuanzia saa 12 jion mpaka usiku wa saa nane hakukuwa na umeme,. Labda ungetupa mrejesho wa huku moro kwanza
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Kwendeni hukooo,hiyo Jana usiku sasa hivi mwanza Nyegezi ushakatika tenaa utarudi na kukatwa Mara tanoo kwa Sikh...hopeless kabisa nyie, hivi familia zenu huwa mnaziaga kwamba mnaenda kazini?
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Achen unafiki nyie watu
 
Makamba ni zaidi ya mzigoo hv huyu mama haoni aama hajui vinavyoendelee,dear lord
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Ndugu Tanesco,

Kwaiyo nikitoa taarifa za vitu umezitaja hapo juu hii kero itaisha???.

Hebu tuache drama, kitendo cha kuonesha hamlitambui tatizo ni ishara ya wazi ya kukwepa uwajibikaji.

Ok niko Mwanza ofisi yangu ya kazi Nyamagana nyumbani kwangu Ilemela na kote hakuna umeme.

Mnatia hasara na hasira.
 
Back
Top Bottom