Waziri Makamba: Sasa Serikali itanunua shehena ya mafuta moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji

Tatizo wenye biashara hizo ni manyang'au ya CCM, je itawezekana? Hii nchi bila CCM tungekuwa mbali sana
 
Unasema sokoni bei ni dola 86 kwa pipa, tpdc wanatuletea kwa dola 20 kwa tani za ujazo. Sasa wengine tunapata ugumu kuelewa maana hatujui uhusiano Kati ya pipa na tani za ujazo.

..hata mimi nimesoma taarifa nilipofika hapo kwenye pipa vs tani za ujazo nikaamua kusepa.
 
Umeme tumeshawekewa na hayati , upara labda atuletee mgao kama wasasa hivi
 
Hivi wale waliokuwa wwnaiba mafuta na jengo tukaonyeshwa
Wale walikuwa ni untouchables? Maana kwa kweli sikuwasikia tena
 
Ujinga mtupu, yaani wanafikiri Watanzania wote ni wajinga, hatudanganyiki na porojo.
 
Miaka zaidi ya 40 madarakani tangu i huru bado serikali ya ccm inapambana na tatizo hilo hilo miaka nenda rudi... Kama hii sio insanity ni kitu gani?
Nyie uchwara miaka thelathini sasa bado tu mnaishi ufipa. Jengo lenyewe bovu lakini mmeng'ang'ania hapo hapo bila aibu.
 
Nyie uchwara miaka thelathini sasa bado tu mnaishi ufipa. Jengo lenyewe bovu lakini mmeng'ang'ania hapo hapo bila aibu.
Kingai alisema pale kizimbani, jinai moja haihalarishi nyingine...labda arudi tena atafsiri ndio Magonjwa mtambuka utamuelewa...
 
Hapo wanatafutiwa watu ulaji tuu kama vile vibali vya kuagiza sukari, i hope apigane aifanye biashara ya mafuta huru kwa wote wanaotaka kuifanya ili washindane tupate nafuu ya bei na sio kuifanya exclusive club ya wahindi, warasimu wa serikali na mabilionea peke yao ndio wenye haki ya kuagiza na kuuza mafuta, hatuzalishi mafuta kwa hiyo hatuna control ya bei lakini soko huru la kuagiza na kuuza bila upendeleo ndio dawa ya kuzuia wachache kunufaika
 
Serikali iache upuuzi wa kujihusisha na biashara ya aina yeyote ile, muhimu weka sera zako vizuri bila kupendelea yeyote na kuhakikisha ubora wa hayo mafuta yanayoingia nchini then achia private businesses wafanye kazi zao
 
Yasijekuwa kama yale ya Korosho zetu!!
 
Miaka zaidi ya 40 madarakani tangu i huru bado serikali ya ccm inapambana na tatizo hilo hilo miaka nenda rudi... Kama hii sio insanity ni kitu gani?
Kama vipi tuhame tu nchi yenyewe kamanda, au vipi? Maana mambo yenyewe hayaeleweki; hawa wapo madarakani zaidi ya miaka 40 hakuna cha maana na wale wengixne wanayatafuta madaraka zaidi ya miaka 29 sasa (tangu 1992) lkn hata hawaonyeshi dalili ya kuyapata hadi leo, ndo kwanza wanazidi kupoteana!
 
Relax unaonekana una stress mdogo wangu
Msamehe tu kiongozi!
Makamba ni kijana smart sana na mtoto wa mjini, amewapita wengi sana kwa uwezo wa kuchambua na kutambua mambo......hili haters linawauma kweli na mwishowe ndo huja na mimaneno ya chuki km hivyo. Hskuna kitu hapo mkuu ni wivu na chuki tu!!!
 
Unasema sokoni bei ni dola 86 kwa pipa, tpdc wanatuletea kwa dola 20 kwa tani za ujazo. Sasa wengine tunapata ugumu kuelewa maana hatujui uhusiano Kati ya pipa na tani za ujazo.

Bora hata ww umeona huu utata, haya maelezo ndio yale utawasikia wakisema nimenukuliwa vibaya. Hata maelezo nayafananisha na yale ya Profesa Kabudi kuhusu gawio la madini kuwa tunapata 50/50 faida, ila tuna 16% shares, yaani ni maelezo ya utata mtupu. Halafu wanamalizia na kibwagizo cha " haijapata kutokea"
 
Safari hii pamoja na bei ya mafuta ghafi duniani kupanda kufikia Dola 86 Kwa pipa TPDC italeta dizeli nchini mwezi desemba Kwa wastani wa Dola 20 Kwa tani za ujazo.

Sijaelewa hapa ulinganisho wa bei ya pipa na tani za ujazo .maana naona kama huyu Dogo mjanja mjanja anatuchanganyia mafaili
 
Mara nyingi tumeambiwa kwamba jukumu la Serikali ni kuratibu biashara na sio kufanya biashara. Na Sera za Magufuli za kutaka serikali kufanya biashara zilikuwa mbovu na kuchukia 'matajiri" na kuwanyima wafanya biashara fursa. Sasa hapa ni "kazi iendele" au ni biashara iendele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…