Waziri Makamba tunasubiri uifumue na TPDC na EWURA

Waziri Makamba tunasubiri uifumue na TPDC na EWURA

😂😂😂😂😂😂😂😂acha ufumuaji uendelee tu.
Ndugu yangu January,

Pamoja na mengi yaliyosemwa ila kuna mgongano mkubwa wa maslahi kati ya MD mpya wa TANESCO Ndg.Chande na Mjumbe wa bodi Ndg.Zawadia Nanyaro.

Hawa wawili ni wakurugenzi wa bodi Benki ya DCB, Chande akiwa Mwenyekiti na Nanyaro akiwa Makamu Mwenyekiti.

Huku TANESCO, Chande ni MD wakati Nanyaro ni Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi.Hapa ni ngumu kupata matokeo kwa sababu hawa wazi wazi wana mgongano wa kimaslahi. Ni ngumu kwa Chande kuwajibika kwa Mjumbe wa bodi ambaye sehemu nyingine yeye ni bosi wake.

Kama unawahitaji wote ungewapeleka taasisi tofauti katika wizara yako. Hiyo wizara haitaki papara bali umakini. Kama utakumbuka Mhe.Karamagi alikuja na mawazo ya kupeleka mambo haraka kama sekta binafsi hakudumu, Mhe.Lowasa na wengine walitaka kufanya papara hapo hapo wakakwama kisiasa.

Nimalize tu kwakusema hiyo wizara ni kibra ya kisiasa.
 
😂😂😂😂😂😂😋😋😋😋😋awamu hii hachomoki.
 
Kuingiza watu wapya ili kuleta tija kwenye kampuni
 
😂😂😂😂😂😂😋😋😋😋😋awamu hii hachomoki.
 
Kwako waziri wa nishati,
Hongera kwa kuanza kazi vizuri kwa kuifumua TANESCO.

Tunasubiri uifumue TPDC na EWURA ili mambo yaende vizuri.
 
Back
Top Bottom