peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwako waziri wa nishati,
Hongera kwa kuanza kazi vizuri kwa kuifumua TANESCO.
Tunasubiri uifumue TPDC na EWURA ili mambo yaende vizuri.
Sugu amlipua january makamba juu ya dowans
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi Mr.Sugu akiwahutubia jana mamia ya wananchi wa Uyole kata ya Insalaga katika mkutano wa hadhala uliofanyika viwanja vya kibonde Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu (Chadema), amemjia juu Mbunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba...