peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwako waziri wa nishati,
Hongera kwa kuanza kazi vizuri kwa kuifumua TANESCO.
Tunasubiri uifumue TPDC na EWURA ili mambo yaende vizuri.
We jamaa mbona Makamba Yupo smart Sana.Sugu amlipua january makamba juu ya dowans
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi Mr.Sugu akiwahutubia jana mamia ya wananchi wa Uyole kata ya Insalaga katika mkutano wa hadhala uliofanyika viwanja vya kibonde Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu (Chadema), amemjia juu Mbunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba...www.jamiiforums.com
We jamaa mbona Makamba Yupo smart Sana.
We jamaa mbona Makamba Yupo smart Sana.
Kwako waziri wa nishati,
Hongera kwa kuanza kazi vizuri kwa kuifumua TANESCO.
Tunasubiri uifumue TPDC na EWURA ili mambo yaende vizuri.
acha watumbuliwe tu.Acheni ujinga wakitumbuliwa nyinyi mnafaidika nini, waliokua wameoza ni Taanesiiko.
Tatizo uelewa mdogo au umetumwaacha watumbuliwe tu.
Ili iweje sasa? I think watu wanaochelewesha mambo ndio waondolewe. Hii ya kubadili kila mtu bila sababu yoyote ni uonezi tu. Mbona tunaoenda sana kuona tumbuatumbua?Kwako waziri wa nishati,
Hongera kwa kuanza kazi vizuri kwa kuifumua TANESCO.
Tunasubiri uifumue TPDC na EWURA ili mambo yaende vizuri.
Ngoja tusubiri next week, hivi kufumua kunahitaji uelewa.Tatizo uelewa mdogo au umetumwa
ππππππwatu wasubiri kuhamishiwa ofisi ya Rais ili kupangiwa kazi nyingine, mkuu mbona unatetemeka kulikoniππππππππEhee okkkk
Ova
Nacheka tu maana nchi hii tushaizoeaππππππwatu wasubiri kuhamishiwa ofisi ya Rais ili kupangiwa kazi nyingine, mkuu mbona unatetemeka kulikoniππππππππ
πππππππMkuu unakipaji cha mipasho.Kondoo:Karibu mpka ndani mgeni mlango uko wazi
Simba:Asante ,asante Sana
To be continued......
ππ
Hahahaaaaaaa, wahamishiwe ofisi Rais ili wapangiwe kazi nyingine tu. ππππππππππππππππππππππππππππππππUpuuzi mtupu nishati ya mafuta usitegemee ifanye vizuri kwa sababu mmoja kuu hakuna sera kakamilifu ya nishati.
Kwa hiyo kufukuza hao wakuu hakusaidii bali ni witch hunt.
Mimi nakumbuka kutokea 1976 tumegundua gesi ya Songo songo hadi leo hatujawahi kuweka gesi hiyo kwenye mtungi.
Kama mmekosa maarifa azima kwa wenye maarifa
Kwako waziri wa nishati,
Hongera kwa kuanza kazi vizuri kwa kuifumua TANESCO.
Tunasubiri uifumue TPDC na EWURA ili mambo yaende vizuri.
Mimi Makamba namwamini sana ni mtu smart, subiri mwone matokeo.Mchuuzeni tu huyo fisadi kama hajaangukia mgongo chaliiiiii!!!