Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
- #21
Pia katika teuzi hizohizo za wajumbe wa Bodi, Makamba kamteua mtoto wa Bakhresa ndani ya bodi ya TANESCO.
Huyu jamaa anajipanga kwa ajili ya urais ndiyo maana anawakumbatia watu wenye maslahi na mabeberu na pia Matajiri. ANATENGENEZA MTANDAO WAKE WA URAIS
Atatuuza huyu!
Huyu jamaa anajipanga kwa ajili ya urais ndiyo maana anawakumbatia watu wenye maslahi na mabeberu na pia Matajiri. ANATENGENEZA MTANDAO WAKE WA URAIS
Atatuuza huyu!