Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
-
- #21
Pengine kalemani alipaswa kuondolewa. Lakini haikupaswa kuwekwa mtu kama makamba paleNinaanza kuona kitu fulani hovyo kwa kuondolewa Kaleman na kuwekwa Makamba pale. Hii bodi aliyoiunda kisha ndani yake akaweka watu wenye maslahi na watu wanaotushitaki kuna kitu hakijakaa sawa somewhere.
Inawezekana Kalemani alikuwa kikwazo dhidi ya mafisi wanaotaka kula nyama ya Shirika
Mkuu ni labda hujui kazi ya bodi.Mjumbe wa bodi hana influence yoyote hata kama anauza majenereta, yaani nchi hii na wataalam wooote waliopo wakamsikilize maajar awaingize chaka kisa ana majenereta?
Muacheni mama wa watu ameteuliwa kwa weledi wake na pengine misimamo yake nadhani wawaache wafanye kazi maana ndio kwanza hata wiki hawana na umeme unaendelea kukatika vile vile kama feni
Mbona sijaona kosa la huyu jamaa?? Ni kweli tumesahau ya huyu mama Maajar na Dowans?Kumbe na wewe ni chato gang?
Hayo yanaweza kuja, waswahili wanasema ngoma huanza na leleNilidhani unasema Huduma zimeanza kuzorota, nilidhani unasema hela stigglers haitoki tena, nilidhani Kuna mikataba ya Tanesco wameingia kuzalisha umeme kwa mafuta!
Kumbe unapiga ramli tu!
Yaaani bodi ivinjwe kwa ramli zako?
Unamaanisha ikiwa huko zamani tuliwahi kuwa na watu wa hovyo kwenye bodi basi yapaswa tuendelee kuwa hivyohivyo?Kwani hiyo bodi ambayo haikuwa na maslahi ilifanya nini cha ajabu? Nakumbuka wakati flan bodi iliiongozwa na mkuu mstaafu wa majeshi lkn ndio wakati tulikuwa na magenereta kila pahala. Mzalendo na asie na mgongano wa maslahi Ni nani Tz? Tuwape muda
Angekuwa mwadilifu asingeshiriki madudu yafutayo
1. Bao la mkono dhidi ya Lowasa mwaka 2015.
2. Kushiriki kututengenezea sheria hovyo za mitandao wakati wa Jakaya
3. Kuunda bodi ya TANESCO yenye mgongano wa maslahi, tena kwa faida za nabeberu wa Dowans
Tulieni!..Ninaanza kuona kitu fulani hovyo kwa kuondolewa Kaleman na kuwekwa Makamba pale. Hii bodi aliyoiunda kisha ndani yake akaweka watu wenye maslahi na watu wanaotushitaki kuna kitu hakijakaa sawa somewhere.
Inawezekana Kalemani alikuwa kikwazo dhidi ya mafisi wanaotaka kula nyama ya Shirika
Huyu muheshimiwa amepewa wizara iliyo sensitive sana,ajuwe kuwa uzembe wowote atakaoufanya ita reflect kutolewa kwake kwenye uongozi kwenye awamu iliopita,sifikirii kuwa atakubali hili limtokee,ngoja tumpe muda inawezekana akafanya maajabu,na ndio maana mama kamuamini...Huyu mama Maajar ni miongoni mwa Waanzilishi/Wamiliki wa kampuni ya REX ATTORNEYS na hiyo kampuni ya uwakili ndiyo inayoiwakilisha Symbion na Dowans katika kesi zao dhidi ya TANESCO.
Halafu unatoka hapo unamteua huyo mtu kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO, huoni kuna mgongano wa Maslahi hapo?
Huoni huyo mama atakuwa anapata sensitive information ndani ya TANESCO ili kuwapa advantage wateja wake wanaomlipa mamilioni katika kesi dhidi ya hilo shirika?
Waziri Makamba, tengua haraka sana bodi uliyoiunda yenye mgongano wa masilahi.
1. Hatutaki kuona tena huduma za umeme zikizorota ili watu wauze majenereta yao
2. Hatutaki kuona hujuma kwenye mabwawa yetu ya umeme ili umeme uwe shida halafu nchi iingie kwenye mikafaba ya kifisadi kama IPTL
3. Hatutaki kuona time table ya kukamilika kwa Stieglers inachelewa ili wapiga dili wapate kisingizio cha kuingia mikataba ya kifisadi ya umeme
Waziri Makamba tunataka uchukue hatua, hili chaguo la Balozi Maajar hatulielewi!
Hicho kipindi cha majenereta kilikuwa cha hao waliorudi kwenye bodi.Kwani hiyo bodi ambayo haikuwa na maslahi ilifanya nini cha ajabu? Nakumbuka wakati flan bodi iliiongozwa na mkuu mstaafu wa majeshi lkn ndio wakati tulikuwa na magenereta kila pahala. Mzalendo na asie na mgongano wa maslahi Ni nani Tz? Tuwape muda
Siku zote mimi huwa nasema shida ya tz na afrika haijawahi kuwa viongozi wao, bali upumbavu wa wananchiMkuu ni labda hujui kazi ya bodi.
Lakini pia inaweza kuwa umesahau kuwa kipindi kile Cha dowans, huyu mama Maajar ndio aliishauri Tanesco kuvunja mkataba na Dowans.
Hadi hapo hakupaswa kuteuliwa kwenye bodi,
Ila watanzania ni wasahaulifu sana
Watanzania mna vituko!!!...Tuache siasa kwenye Mambo ya Msingi!!..Mama Maajar ni Mtu makini sana kwenye Kazi na atatupeleka mbali kwenye sekta hii ya Umeme!!Huyu mama Maajar ni miongoni mwa Waanzilishi/Wamiliki wa kampuni ya REX ATTORNEYS na hiyo kampuni ya uwakili ndiyo inayoiwakilisha Symbion na Dowans katika kesi zao dhidi ya TANESCO.
Halafu unatoka hapo unamteua huyo mtu kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO, huoni kuna mgongano wa Maslahi hapo?
Huoni huyo mama atakuwa anapata sensitive information ndani ya TANESCO ili kuwapa advantage wateja wake wanaomlipa mamilioni katika kesi dhidi ya hilo shirika?
Waziri Makamba, tengua haraka sana bodi uliyoiunda yenye mgongano wa masilahi.
1. Hatutaki kuona tena huduma za umeme zikizorota ili watu wauze majenereta yao
2. Hatutaki kuona hujuma kwenye mabwawa yetu ya umeme ili umeme uwe shida halafu nchi iingie kwenye mikafaba ya kifisadi kama IPTL
3. Hatutaki kuona time table ya kukamilika kwa Stieglers inachelewa ili wapiga dili wapate kisingizio cha kuingia mikataba ya kifisadi ya umeme
Waziri Makamba tunataka uchukue hatua, hili chaguo la Balozi Maajar hatulielewi!
Makamba ni kiongozi anajua kupanga safu za ushindi na hapa kwenye bodi ya Tanesco ndio kaanza vyema!!..Bodi hii ina watu wenye mafanikio kwenye sekta zote walizowahi kupita!!..Sasa tunategema Neema kwenye Umeme!!.. Shirika lifanye Kazi Kwa ufanisi na kuleta FaidaHuyu mama Maajar ni miongoni mwa Waanzilishi/Wamiliki wa kampuni ya REX ATTORNEYS na hiyo kampuni ya uwakili ndiyo inayoiwakilisha Symbion na Dowans katika kesi zao dhidi ya TANESCO.
Halafu unatoka hapo unamteua huyo mtu kuwa mjumbe wa bodi ya TANESCO, huoni kuna mgongano wa Maslahi hapo?
Huoni huyo mama atakuwa anapata sensitive information ndani ya TANESCO ili kuwapa advantage wateja wake wanaomlipa mamilioni katika kesi dhidi ya hilo shirika?
Waziri Makamba, tengua haraka sana bodi uliyoiunda yenye mgongano wa masilahi.
1. Hatutaki kuona tena huduma za umeme zikizorota ili watu wauze majenereta yao
2. Hatutaki kuona hujuma kwenye mabwawa yetu ya umeme ili umeme uwe shida halafu nchi iingie kwenye mikafaba ya kifisadi kama IPTL
3. Hatutaki kuona time table ya kukamilika kwa Stieglers inachelewa ili wapiga dili wapate kisingizio cha kuingia mikataba ya kifisadi ya umeme
Waziri Makamba tunataka uchukue hatua, hili chaguo la Balozi Maajar hatulielewi!
kuna mgongano wa maslahi. Mmoja wa wamiliki wa firm ya kisheria inayowakilisha kampuni inayoishtaki Tanesco amepewa ujumbe wa bodi wa hiyohiyo Tanesco, hii haina afya. kwa shirika, ni mgongano wa maslahi mtupuMakamba ni kiongozi anajua kupanga safu za ushindi na hapa kwenye bodi ya Tanesco ndio kaanza vyema!!..Bodi hii ina watu wenye mafanikio kwenye sekta zote walizowahi kupita!!..Sasa tunategema Neema kwenye Umeme!!.. Shirika lifanye Kazi Kwa ufanisi na kuleta Faida
Kwenye mgongano wa kimaslahi!!!...Kila mtu ana maslahi kwenye shirika hili!!....Mama Maajar kuwa na law firm hii!!...Bado haimaanishi atakua na personal interest kwenye shirika hili!!.. Utumishi wa Umma Una miiko yake ndio maana amekubali kuteuliwa!!kuna mgongano wa maslahi. Mmoja wa wamiliki wa firm ya kisheria inayowakilisha kampuni inayoishtaki Tanesco amepewa ujumbe wa bodi wa hiyohiyo Tanesco, hii haina afya. kwa shirika, ni mgongano wa maslahi mtupu
Nani sasa anafaa?Spot on....
Kitendo cha kumuweka January kwenye hii wizara tayari harufu ya uchafu ilianza kuhisiwa,mengineyo ni muendelezo na tutarajie zaidi.
Kasoro iko kwenye matendo siyo sura yakeNani sasa anafaa?
Maana kuna waliokuwa wanasema Medard Kalemani alipwaya....
Haya, kaja Makamba, naye anaonekana ana kasoro tayari....
Je, ni nani sasa anafaa kuiongoza wizara hii?
Maana, kwa hali ilivyo, basi mimi naona kabisa kuwa hata wewe ukipata bahati ya kuiongoza wizara hii, watasema mapungufu na kasoro zako kibao tu na inaweza kuwa afadhali hata January Makamba au Medard Kalemani....!
Je, nani sasa anafaa?????