Mtuturas
JF-Expert Member
- Apr 18, 2017
- 456
- 867
"chakula" kimefuatwa!!.
Hahaaaa tuliosoma Cuba tumeelewa.
Mchicha mwiba bana Kwa kujifagilia
Watu wanajifanya wanakwenda kwenye ziara za kikazi kumbe wana yao nyuma ya pazia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"chakula" kimefuatwa!!.
Haya mambo unayowafikiria na kuwaombea watoto wa wenzako yatakuja watokea wanao, Endelea tu kusingizia na kukejeliHahaaaa tuliosoma Cuba tumeelewa.
Mchicha mwiba bana Kwa kujifagilia
Watu wanajifanya wanakwenda kwenye ziara za kikazi kumbe wana yao nyuma ya pazia
i secondKumpa UDC SHAKA ni matumizi mabaya ya rasilimali watu Jamaa level yake sio hiyo
Urais wa ZANZIBARKumpa UDC SHAKA ni matumizi mabaya ya rasilimali watu Jamaa level yake sio hiyo
Uzuzu ndio huu wakoHao sio viongozi bali ni majizi ya kura yanatembeleana.
Nyie akina nani, kijani au,🤔Nyie hata ACT wameshawafunika
Kwani siku hizi hamruhusiwi kurandaranda kwenye corridor za Lumumba🤔Kutembelewa hakuna tija yeyote kama hali za maisha ya watanzania zinaendelea kuwa ngumu kila siku.
Mgeni njoo......Ujenzi wa Magerezani UshaanzaKutembelewa hakuna tija yeyote kama hali za maisha ya watanzania zinaendelea kuwa ngumu kila siku.
Pia ni jambo jema
Naona akili yako haina akili, Waziri anafanya ziara popoteHao wapemba wamekwenda kutafuta mashamba ya mpunga
Watanzania au vyombo vya dola?Kwisha habari yenu ninyi chadema,mmebaki mnatapa tapa tu baada ya kupuuzwa na watanzania kutokana na ubabaishaji wenu
Jamaa unaitetea sana CHADEMA naamini unahisa kubwaWatanzania au vyombo vya dola?
Hisa zangu ni kubwa sana huko CDM, kwani unaumia?Jamaa unaitetea sana CHADEMA naamini unahisa kubwa