Waziri Masauni afanya Ziara ya Kikazi Wilayani Kilosa

Hahaaaa tuliosoma Cuba tumeelewa.
Mchicha mwiba bana Kwa kujifagilia
Watu wanajifanya wanakwenda kwenye ziara za kikazi kumbe wana yao nyuma ya pazia
Haya mambo unayowafikiria na kuwaombea watoto wa wenzako yatakuja watokea wanao, Endelea tu kusingizia na kukejeli
 
Wengine tunawasha tochi,kujua kilossa kunanini.
 
Kutembelewa hakuna tija yeyote kama hali za maisha ya watanzania zinaendelea kuwa ngumu kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…