Pole mankaMm nilidhani Simbachawene ni waziri wa mambo ya ndani. Kumbe ni huyu? Sasa Simbachawene ni waziri wa nn?
Maana hivi sasa mawaziri wamekuwa wakigeuzwa geuzwa kama chapatihadi hatuelewi?
Pole pingapingaHao sio viongozi bali ni majizi ya kura yanatembeleana.
Naona Sacco's yenu haina mvuto kwa sasaAcha ACT, mpaka TLP.
Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm.Naona Sacco's yenu haina mvuto kwa sasa