Halafu Mwananchi anayepita hapo Choka mbaya hata Aibu hawaoni.
Namuona na mwananchi mwenyewe anapita pembeni hapo.
Nchi inayoenda kukopa, hii gari anatembelea mkuu wa mkoa!!! Tunakatwa kodi mishahara, kodi wafanyabiashara ili viongozi waishi kwa anasa. Inatosha sasa...
Daah aisee hii picha inaumiza,inaliza,inatafakarisha.Eee Mungu shuka,shuka baba muweza.
Halafu Mwananchi anayepita hapo Choka mbaya hata Aibu hawaoni.
Wakituletea mambo ya kipuuzi tunawakejeli tu.HIvi nikisema Mama Abdul hamna kitu anafanya.. Hapo je mimi ni mtuhumiwa?
Hawa watu sijui wakoje!?Kusemwa tu ndiyo wanaugua na kulazwa hospitali?Na wenye kulala njaa,kushindwa kusomesha watoto wao,kukosa sehemu za kuegesha mafuvu yao/kulala na kupata shida nyingine wasemeje?Umeona ehee,lazima wananchi wawaseme coz kodi zao zinatapakanywa,mitozo kila kona lakini huduma za jamii zero,wananchi tumepigika mlo mmoja wa bahatisha ndulute huku sirikali inanunua LC300 matumizi ya anasa.
Wapunguze mikodi ,wawahudumie wananchi vizuri uone kama watasemwa,wapunguze matumizi ya anasa,watosheke na mishahara yao ,waache upigaji ,fedha zielekezwe kwenye maendeleo.
Halafu hawataki tuongee wanataka umsifie tu Mama Abduli. Nasema hivi over my dead body...Umeona ehee,lazima wananchi wawaseme coz kodi zao zinatapakanywa,mitozo kila kona lakini huduma za jamii zero,wananchi tumepigika mlo mmoja wa bahatisha ndulute huku sirikali inanunua LC300 matumizi ya anasa.
Wapunguze mikodi ,wawahudumie wananchi vizuri uone kama watasemwa,wapunguze matumizi ya anasa,watosheke na mishahara yao ,waache upigaji ,fedha zielekezwe kwenye maendeleo.