Waziri Masauni aonya wanaodhihaki viongozi mtandaoni

Halafu hawataki uongee wanataka umsifie Mama Abduli. Nasema hivi over my dead body...
Dah!Ila kuna mijitu mizima ya hovyo sana.Unakuta mtu anasifia kwa sauti na amekenua mdomo umekuwa mpana hadi unafika karibu na masikio huku anatokwa povu tu.🙏😂
 
Nchi inayoenda kukopa, hii gari anatembelea mkuu wa mkoa!!! Tunakatwa kodi mishahara, kodi wafanyabiashara ili viongozi waishi kwa anasa. Inatosha sasa...

Viongozi wa kiafrika ni sifuri kabisa ,nchi yetu ni tajiri sana ,tukipata kiongozi mzuri maisha yatakua nafuu ,tukitumia rasilimali zetu vizuri tutaondoa tozo sizizo na msingi ,tutaondoa au kupunguza VAT/PAYE.

Tuna mbuga kama Zote ,Madini kama yote ,mazao ya misitu kama yote ,ardhi kubwa virgin(haijaguswa kabisa),bahari(ports/samaki) etc yaani hivyo vitu tungetumia vizuri hakika tusingekopa hata 100.

Resources zote wamewapa wazungu kwa kuhongwa nyumba USA/S.A/UK ,mabiashara makubwa yote wanahisa zao za chini chini hivyo wanapata favor.

TZ akitokea kiongozi wa kuwatetea wananchi anaundiwa Zwengwe ,Mpina kapambana na WEZI/Mafisadi lakini ameishia kufukuzwa bungeni...Viongozi wengi ni wapigaji ,waziri kwa mshahara gani amiliki nyumba ya zaidi ya 2B? Waziri gani amiliki mabasi zaidi ya 15? Kwa mshahara upi au mkopo gani?
 
Nchi inayoenda kukopa, hii gari anatembelea mkuu wa mkoa!!! Tunakatwa kodi mishahara, kodi wafanyabiashara ili viongozi waishi kwa anasa. Inatosha sasa...
Gharama ya kuhudumia hayo madude sio mchezo ndio maana siku zote kuna nakisi ya bajeti.
 
Inaumiza sana mkuu. Najuta sana kua mwafrika mweusi. Hapa nchini ni 10% pekee wanaishi kwa standard inayotakiwa. Asilimia iliyobaki ni tia mchuzi.
 
Fucking idiot.

Watu wana haki ya kuwasema hao viongozi.

Acheni huu ujinga wa kuendekeza Lese Majeste.

Fanya kazi watu wataona, acha wanaodhihaki wadhihaki, halafu wananchi watahukumu.
 
Kukosolewa viongozi ni moja ya misingi ya Kidemokrasia.
Ni aibu Kiongozi kutoa vitisho kwa wakosoaji na kukumbatia uchawa.
Dunia ya sasa imebadilika sana,badilikeni viongozi
 
Ifike hatua mawaziri wawe wanaomba kazi na kufanyiwa interview.
Isiwe cheo cha kuteuliwa na waombaji sifa ziendane na wizara wanazo omba kuziongoza.
Hii ya kuteua makada kua mawaziri inaturudisha nyuma kama taifa.
 
Mnywa urojo anachimba biti...watu wakiwa na dola upande wao huwaga wanajiona miungu watu
 
Kataa uozo
Kataa matapeli
Kataa majizi
Kataa mafisadi ya CCM
 
Wakati Kikwete akiwa Mwenyekiti wa CCM, huyu jamaa akiwa Mwenyekiti wa UVCCM alikumbwa na kashfa mbaya sana ya kufoji umri, alijifanya kijana na kuweza kushika nafasi hiyo.

Ingawa aliondolewa kabla ya miaka mitano kwa 'pressure' ya vijana wa CCM na maneno makali ya Kikwete.

Aliposhtukiziwa, Kikwete alitoa amri kuwa maisha asipewe uongozi ndani ya CCM, labda huko serikalini kwa kuwa huko kuna uhuni mwingi.

Kikwete muda wote akiwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, huyu jamaa hakufanyakazi ya serikali na CCM.

Mpaka leo sehemu akiwapo Kikwete, jamaa huinamisha uso wake chini kwa muwadhra na aibu alioipata.

Alianza kuonekana kwenye vyeo vya serikali baada ya Kikwete kustaafu na John Magufuli kuwa Rais.

Huyu jamaa, ana tabia za kikatili sana ndio sababu kila kitu anatumia nguvu na mabavu ya askari polisi.

Jamaa ni mpuuzi sana. Ana hulka za kishenzi dhidi ya binadamu.

Ana tabia ya kuchukia upinzani, vyama vya upinzani na viongozi wake, kama vile havipo kisheria na kikatiba.
 
Anataka tusiwakemee viongozi majizi
 
Trafki wanachepusha fedha za faini,yeye yupoyupo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…