Pa-Paa JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 916 Reaction score 1,363 Sep 7, 2024 #21 Acheni watu wanyooshwe akili iwakae sawa sawa.
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 6,108 Reaction score 21,140 Sep 7, 2024 #22 Wengi ni matapeli huyo kutokana na mmemnyang‘anya tonge kaona afunue ukweli ili nyumbu ziamke wenzake wasiendelee kupiga. Masauni mimi naomba kama kuna uwezekano mruhusuni Kiboko arudi bado nyumbu Tanzania hazijaisha na hazitaisha mkiendelea kuwakuza wanaowatia adabu.
Wengi ni matapeli huyo kutokana na mmemnyang‘anya tonge kaona afunue ukweli ili nyumbu ziamke wenzake wasiendelee kupiga. Masauni mimi naomba kama kuna uwezekano mruhusuni Kiboko arudi bado nyumbu Tanzania hazijaisha na hazitaisha mkiendelea kuwakuza wanaowatia adabu.
King_mwanamalundi JF-Expert Member Joined Mar 27, 2019 Posts 373 Reaction score 558 Sep 7, 2024 #23 Kiboko ya wachawi hakutapeli kupitia dini, ila dini yenyewe tu ni utapeli. Mtachelewa sana kujua.