Waziri Masauni na IGP Wambura jiuzulu

Waziri Masauni na IGP Wambura jiuzulu

Watanganyika wenzetu wanatekwa, kupoteza na kuuawa katika ardhi yetu na mchana kweupe

Idadi ya vifo na utekaji vimeongezeka

Uchunguzi usiokuwa na majibu juu ya waliomteka Mzee Kibao hapa Masauni msibani ulienda ukaahidi utafanya uchunguzi na utakuja na majibu haraka, ila miezi minne Sasa Bado majibu

Kutekwa na kupotea Kwa akina soka

Kutekwa Kwa Sativa na kutupa Katavi msituni.

Yaani mtu asafirishwe kutoka Dar na wasiojulikana na vyombo vya usalama viko tu, kwanini Masauni usione aibu ukajiuzulu

Kutekwa Kwa mfanyabiashara Tarimo

Na sura zao kuonekana ila Bado mnashindwa kuwakamata hao waharifu na kuwafikisha kwenye mkono wa sheria

Leo ametekwa kiongozi wa ACT alfajiri saa 11 hadi pamoja na watu kutambua namba ya gari, ila Bado police mnashindwa kumwokoa na kuwakamata wasiojulikana.

Pia soma: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Masauni jiuzulu au Kwa kuwa wanaoteka ni Watanganyika haikuumi sana

IGP Wambura ushajijengea heshima kubwa, hebu jiuzulu kulinda heshima yako kazi imekushinda
Mbona akina zito na myika wanajiteka wenyewe kwa wenyewe yaani zito kamteka nondo na kumshushia kichapo hahaha. Mlishukuru jeshi la polisi
Limesaidia kumkaba zito na kumuachia nondo
 
Watanganyika wenzetu wanatekwa, kupoteza na kuuawa katika ardhi yetu na mchana kweupe

Idadi ya vifo na utekaji vimeongezeka

Uchunguzi usiokuwa na majibu juu ya waliomteka Mzee Kibao hapa Masauni msibani ulienda ukaahidi utafanya uchunguzi na utakuja na majibu haraka, ila miezi minne Sasa Bado majibu

Kutekwa na kupotea Kwa akina soka

Kutekwa Kwa Sativa na kutupa Katavi msituni.

Yaani mtu asafirishwe kutoka Dar na wasiojulikana na vyombo vya usalama viko tu, kwanini Masauni usione aibu ukajiuzulu

Kutekwa Kwa mfanyabiashara Tarimo

Na sura zao kuonekana ila Bado mnashindwa kuwakamata hao waharifu na kuwafikisha kwenye mkono wa sheria

Leo ametekwa kiongozi wa ACT alfajiri saa 11 hadi pamoja na watu kutambua namba ya gari, ila Bado police mnashindwa kumwokoa na kuwakamata wasiojulikana.

Pia soma: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Masauni jiuzulu au Kwa kuwa wanaoteka ni Watanganyika haikuumi sana

IGP Wambura ushajijengea heshima kubwa, hebu jiuzulu kulinda heshima yako kazi imekushinda
Kujiuzulu ndio mdudu gani Bongo?

RIP mzee Mwinyi. Alijua maana ya kujiuzulu.

Ila mimi na hao wazushi uliowataja hapo juu, hatujui maana ya hilo neno.
 
Hakika mkuu
 
Watanganyika wenzetu wanatekwa, kupoteza na kuuawa katika ardhi yetu na mchana kweupe

Idadi ya vifo na utekaji vimeongezeka

Uchunguzi usiokuwa na majibu juu ya waliomteka Mzee Kibao hapa Masauni msibani ulienda ukaahidi utafanya uchunguzi na utakuja na majibu haraka, ila miezi minne Sasa Bado majibu

Kutekwa na kupotea Kwa akina soka

Kutekwa Kwa Sativa na kutupa Katavi msituni.

Yaani mtu asafirishwe kutoka Dar na wasiojulikana na vyombo vya usalama viko tu, kwanini Masauni usione aibu ukajiuzulu

Kutekwa Kwa mfanyabiashara Tarimo

Na sura zao kuonekana ila Bado mnashindwa kuwakamata hao waharifu na kuwafikisha kwenye mkono wa sheria

Leo ametekwa kiongozi wa ACT alfajiri saa 11 hadi pamoja na watu kutambua namba ya gari, ila Bado police mnashindwa kumwokoa na kuwakamata wasiojulikana.

Pia soma: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Masauni jiuzulu au Kwa kuwa wanaoteka ni Watanganyika haikuumi sana

IGP Wambura ushajijengea heshima kubwa, hebu jiuzulu kulinda heshima yako kazi imekushinda
Hawa wanafanywa mbuzi wa KAFARA tu, sithani kama wanahusika kwa lolote.
 
Back
Top Bottom