Waziri Masha ajikanganya?

Waziri Masha ajikanganya?

Sijui kwanini umemmention Mrema along side Mengi kwenye watu "wawili" ninaonekana kuwa "mkali" kama wakiguswa,sijui..Labda kwasababu wote ni wachagga,nadhani utakuwa happy.
Uzuri hapa ni kwamba hata kama unamtetea mtu ndugu Field Marshall ni lazima uwe na pointi za ku back up na si tu kuwa mnazi

- Sikusema anything zaidi tu ya kuuliza swali, na wala hukuwa na sababu ya kulijibu, hapa simtetei yoyote ila ninasema hivi kudai kuwa Mengi ameshinda au Masha ameshinda ndio uyanga na simba wenyewe,

- Ukweli ni kwamba tulioshindwa hapa ni sisi wananchi kwa sababu tumeshindwa kutumia sheria kuwawekea mipaka hawa ndugu zetu wawili wenye nguvu kubwa sana zisizo na ukomo ndani ya taifa letu, sasa kama kwa kuwa na mawazo haya ninakuwa ninamtetea mtu so be it! na sihitaji poiint zaidi bro sisi wananchi ndio tulioshindwa hapa!

...Mimi si mnazi,ni mchambuzi tu na kwa uhakika nitakuwa upande wa wazalendo regardless kuwa ni wakristo,waislam ama wachagga.

- Yale yale kwa sababu wewe Mushi, unamtetea Mengi na Mrema, basi wewe ni mzalendo kuliko wengine wote wasiowatetea, tuna safari ndefu sana hili taifa kufika tunakoenda!
 
- Sikusema anything zaidi tu ya kuuliza swali, na wala hukuwa na sababu ya kulijibu, hapa simtetei yoyote ila ninasema hivi kudai kuwa Mengi ameshinda au Masha ameshinda ndio uyanga na simba wenyewe,

- Ukweli ni kwamba tulioshindwa hapa ni sisi wananchi kwa sababu tumeshindwa kutumia sheria kuwawekea mipaka hawa ndugu zetu wawili wenye nguvu kubwa sana zisizo na ukomo ndani ya taifa letu, sasa kama kwa kuwa na mawazo haya ninakuwa ninamtetea mtu so be it! na sihitaji poiint zaidi bro sisi wananchi ndio tulioshindwa hapa!

- Yale yale kwa sababu wewe Mushi, unamtetea Mengi na Mrema, basi wewe ni mzalendo kuliko wengine wote wasiowatetea, tuna safari ndefu sana hili taifa kufika tunakoenda!

Rejea nilisema wazalendo wote bila kujali dini wala kabila ila wewe umejikita kwenye kudai mimi ninawatetea watu hao kwasababu ni wachagga. Na ndio maana nikakupa mfano wa simba na yanga nilidhani ulielewa....Quote hiyo hapo chini zingatia red...

Mimi si mnazi,ni mchambuzi tu na kwa uhakika nitakuwa upande wa wazalendo regardless kuwa ni wakristo,waislam ama wachagga.
 
Rejea nilisema wazalendo wote bila kujali dini wala kabila ila wewe umejikita kwenye kudai mimi ninawatetea watu hao kwasababu ni wachagga.

- Mkuu Mushi, nimekusikia kua huwatetei Mrema na Mengi kwa sababu ni Wachagga, ila tu ni kwa sababu ya uzalendo na wala sio dini, maneno mazito sana mkuu na umesikika!

Thanxs!
 
Back
Top Bottom