Hajamvimbia bwana kila jambo lina utaratibuWaziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemjibu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa agizo lake la kutaka kufutwa kwa vitalu vya Ranchi za Taifa NARCO vinavyomilikiwa kisheria na wawekezaji mbalimbali nchini amelipima na kwamba linahitaji umakini mkubwa kutekelezwa.
"Mh Rais aliagiza vitalu vilivyoko kwenye ranchi zetu za Narco ikiwezekana vifutwe, sasa jambo hili tumelipima na tukaliona linahitaji umakini mkubwa na kwa hiyo ili kutekeleza jambo hili wizara tumeunda timu ya wataalamu kutoka wizara na taasisi mbalimbali zinazohusika na mambo mbalimbali sasa timu hii tunataka ifanye tathmini ya kina ya utendaji na changamoto zilizoko ndani ya Narco ili tuweze kuishauri sawasawa serikali" amesema Mashimba
CHANZO WASAFI MEDIA:
Ha ha ππ muzilankende muyangoNamkumbuka Sana Mzilankende Alipomwambia Mwijage Mtumbue DG Wa Brela, Akasema Siwezi Mheshimiwa Rais
Akaambiwa Ikifika Saa 10 Hujamtumbua, Ujue Huna Kazi
Mwijage Chap Chap Akamtumbua
Ndiyo Ikawa Pona Yake...
Safi sana mashimba.tunataka viongozi wa namna hiyo.Rasi itakuwa alitaka ijigawie eneo ndani ya narco.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Hapo Ndani Ya Siku Saba Ndiyo Yule Mzee Wa Akili Za Kuambiwa Changanya Na Za Kwako (Kikwete)Ha ha ππ muzilankende muyango
Waziri anajua kuwa mwisho wa siku, yeye waziri atashitakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka. Tukumbuke yaliyomkuta Basil Mramba na wenzake.Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemjibu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa agizo lake la kutaka kufutwa kwa vitalu vya Ranchi za Taifa NARCO vinavyomilikiwa kisheria na wawekezaji mbalimbali nchini amelipima na kwamba linahitaji umakini mkubwa kutekelezwa.
"Mh Rais aliagiza vitalu vilivyoko kwenye ranchi zetu za Narco ikiwezekana vifutwe, sasa jambo hili tumelipima na tukaliona linahitaji umakini mkubwa na kwa hiyo ili kutekeleza jambo hili wizara tumeunda timu ya wataalamu kutoka wizara na taasisi mbalimbali zinazohusika na mambo mbalimbali sasa timu hii tunataka ifanye tathmini ya kina ya utendaji na changamoto zilizoko ndani ya Narco ili tuweze kuishauri sawasawa serikali" amesema Mashimba
CHANZO WASAFI MEDIA:
Sasa hapo kavimba wapi ?Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemjibu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa agizo lake la kutaka kufutwa kwa vitalu vya Ranchi za Taifa NARCO vinavyomilikiwa kisheria na wawekezaji mbalimbali nchini amelipima na kwamba linahitaji umakini mkubwa kutekelezwa...
Sasa Hapo Ndani Ya Siku Saba Ndiyo Yule Mzee Wa Akili Za Kuambiwa Changanya Na Za Kwako (Kikwete)Ha ha ππ muzilankende muyango