Waziri Mashimba amvimbia Rais Samia agizo la kufuta vitalu

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemjibu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa agizo lake la kutaka kufutwa kwa vitalu vya Ranchi za Taifa NARCO vinavyomilikiwa kisheria na wawekezaji mbalimbali nchini amelipima na kwamba linahitaji umakini mkubwa kutekelezwa.

"Mh Rais aliagiza vitalu vilivyoko kwenye ranchi zetu za Narco ikiwezekana vifutwe, sasa jambo hili tumelipima na tukaliona linahitaji umakini mkubwa na kwa hiyo ili kutekeleza jambo hili wizara tumeunda timu ya wataalamu kutoka wizara na taasisi mbalimbali zinazohusika na mambo mbalimbali sasa timu hii tunataka ifanye tathmini ya kina ya utendaji na changamoto zilizoko ndani ya Narco ili tuweze kuishauri sawasawa serikali" amesema Mashimba

CHANZO WASAFI MEDIA:

Acha chuki na fitina wewe mpumbavu.

nani anakutuma kupost post ujinga kila siku?

Unadhani Rais anaendeshwa kwa majungu,unajidhalilisha
 
THREAD ZA MAJUNGU NA UCHONGANISHI. WEWE NI NAIBU WAZIRI UNAMSAGIA KUNGUNI BOSI WAKO ATUMBULIWE ILI UPANDE CHEO
Jamaa kila siku anaanzisha thread za majungu 😆watu wanamchora tu hajui kua watu wanajua nia yake 😂
 
Hivo vitalu vimemilikishwa kisheria nadhani , sasa waziri anaangalia namna nzuri ya kuwanyang'anya kisheria ili hao watakaonyang'anywa wasije wakaenda kushtaki mahakamani wizara yake
 
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemjibu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa agizo lake la kutaka kufutwa kwa vitalu vya Ranchi za Taifa NARCO vinavyomilikiwa kisheria na wawekezaji mbalimbali nchini amelipima na kwamba linahitaji umakini mkubwa kutekelezwa.

"Mh Rais aliagiza vitalu vilivyoko kwenye ranchi zetu za Narco ikiwezekana vifutwe, sasa jambo hili tumelipima na tukaliona linahitaji umakini mkubwa na kwa hiyo ili kutekeleza jambo hili wizara tumeunda timu ya wataalamu kutoka wizara na taasisi mbalimbali zinazohusika na mambo mbalimbali sasa timu hii tunataka ifanye tathmini ya kina ya utendaji na changamoto zilizoko ndani ya Narco ili tuweze kuishauri sawasawa serikali" amesema Mashimba

CHANZO WASAFI MEDIA:

Mbona sioni shida? Au nawe ni wale wanaopenda kupenyeza vimemo vya umbea, majungu, fitna na taharuki!?
 
Kumbe mnawachukia sababu wao Ni Waislamu?! Mbwaa nyie, huo udini wenu tushaujua, na hamtokaa mpewe Tena Nchi
Hii comment yako haina afya. Ambae analeta udini anapaswa kupuuzwa tu, Ila nachoona wewe ndio kwanza unapalilia
 
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemjibu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa agizo lake la kutaka kufutwa kwa vitalu vya Ranchi za Taifa NARCO vinavyomilikiwa kisheria na wawekezaji mbalimbali nchini amelipima na kwamba linahitaji umakini mkubwa kutekelezwa.

"Mh Rais aliagiza vitalu vilivyoko kwenye ranchi zetu za Narco ikiwezekana vifutwe, sasa jambo hili tumelipima na tukaliona linahitaji umakini mkubwa na kwa hiyo ili kutekeleza jambo hili wizara tumeunda timu ya wataalamu kutoka wizara na taasisi mbalimbali zinazohusika na mambo mbalimbali sasa timu hii tunataka ifanye tathmini ya kina ya utendaji na changamoto zilizoko ndani ya Narco ili tuweze kuishauri sawasawa serikali" amesema Mashimba

CHANZO WASAFI MEDIA:
Hapo kavimba nini?

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom