Wakabambee58
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 1,302
- 1,939
Humu JF wengine walisema, Kenya Wanachaguana kwa ukabila. Sasa kwetu huku ni wasiwasi wa ki dini na ki ukanda yaani ukabila. Sijui wapi kuko nafuu ya pengine.Dah inasikitisha. Kama Rais Magufuli enzi zake alimteua Rais Samia kuwa makamu wa Rais huku akiwa mwanamke, muislamu, toka Zanzibar, na akamteua Kassimu Majaliwa kuwa waziri mkuu...