Wakabambee58
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 1,302
- 1,939
Humu JF wengine walisema, Kenya Wanachaguana kwa ukabila. Sasa kwetu huku ni wasiwasi wa ki dini na ki ukanda yaani ukabila. Sijui wapi kuko nafuu ya pengine.Dah inasikitisha. Kama Rais Magufuli enzi zake alimteua Rais Samia kuwa makamu wa Rais huku akiwa mwanamke, muislamu, toka Zanzibar, na akamteua Kassimu Majaliwa kuwa waziri mkuu...
Mbunge anarudi vp uraiani?Ajiuzulu tu kama ameshindwa au hawezi kutekeleza maagizo ya Rais wake. Arudi huku uraiani tupambane na maisha.
Hizi chuki za ukabila na ubaguzi hazitakufikisha popote.Hivyo vitalu wapewe waarabu na wasomali ndio watu wanaopewa kipaumbele
Amutoe tu huyo mkiristo halafu wasukuma hawatakiwi na huyu mama! Juzi katoa wakristo mikoa ya kanda ya ziwa katuletea karibia wote waislamHizi chuki za ukabila na ubaguzi hazitakufikisha popote.
Ukiweka jina la msomali mmoja aliyepewa kitalu nitakuomba radhi hadharani.
Vinginevyo wacha ugonjwa ambao tunawalalamikia wa South Africa.Xenophobia.
Hilo nalo nendeni mkalitizameWaziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amemjibu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa agizo lake la kutaka kufutwa kwa vitalu vya Ranchi za Taifa NARCO vinavyomilikiwa kisheri...
Tuletee lista ya mikoa yote na mawaziri,wakuu wa wilaya,mabalozi na makatibu wakuu tulinganishe.Amutoe tu huyo mkiristo halafu wasukuma hawatakiwi na huyu mama! Juzi katoa wakristo mikoa ya kanda ya ziwa katuletea karibia wote waislam
Mkoa wa mara- mkuu wa mkoa-mwislam
Shinyanga-mwislam
Mara-mwislam
Simiyu-mwislam
Tabora-mwislam
Yaani alikuwa na chuki sana na wakristo huyu!
Sahihi.mawazo na fikra muflis.
Mnamsingizia Mzee wa Watu. Urais ni Taasisi na ipo huru kuteua na kutenguaSasa Hapo Ndani Ya Siku Saba Ndiyo Yule Mzee Wa Akili Za Kuambiwa Changanya Na Za Kwako (Kikwete)
Atapenyeza Mbinu Zake Chap
Mzilankende Mnyango
Lakini anahoja, kukurupuka kuvunja mikataba huliingizia taifa hasaraHuyu ni mkristo lazima atang'olewa mapema sn
Wacha haya maneno yako. Hayapendezi kabisa. Na huu siyo uhuru wa maoni.πππHuyu ni mkristo lazima atang'olewa mapema sn
Utaona hamalizi mwaka huu kwenye hiyo WizaraLakini anahoja, kukurupuka kuvunja mikataba huliingizia taifa hasara
Ukweli utabaki palepaleWacha haya maneno yako. Hayapendezi kabisa. Na huu siyo uhuru wa maoni.πππ
Ni mjinga tu anaewaza mambo kwa kivuli Cha udini ...Huyu ni mkristo lazima atang'olewa mapema sn
Ni mjinga tu anaewaza mambo kwa kivuli Cha udini ...Amutoe tu huyo mkiristo halafu wasukuma hawatakiwi na huyu mama! Juzi katoa wakristo mikoa ya kanda ya ziwa katuletea karibia wote waislam
Mkoa wa mara- mkuu wa mkoa-mwislam
Shinyanga-mwislam
Mara-mwislam
Simiyu-mwislam
Tabora-mwislam
Yaani alikuwa na chuki sana na wakristo huyu!
MumeoNi mjinga tu anaewaza mambo kwa kivuli Cha udini ...
Mkuu sijawahi kuwaza issues kwa misingi ya kidini...Hawa wazungu na waarabu wameharibu fikra zenu Sana ..be free from religion concept na utaishi vizuri sanaMumeo
Watapewa wasukuma wa chatoHivyo vitalu wapewe waarabu na wasomali ndio watu wanaopewa kipaumbele
Kwani mkuu hatuoni? Mkoa wa Pwani umetoa mawaziri wanne kwa kipi? mikoa mingine hakuna watu?Mkuu sijawahi kuwaza issues kwa misingi ya kidini...Hawa wazungu na waarabu wameharibu fikra zenu Sana ..be free from religion concept na utaishi vizuri sana