Waziri Mchengelwa aangukia pua zoezi la upandishaji madaraja watumishi wa umma, vilio vyatanda kila kona

shebination

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
392
Reaction score
719
Waziri Mchengelwa una yapi ya kuwaambia watumishi baada ya kuwaaminisha kuwa wote wanaostahili kupanda madaraja watapandishwa na watalipwa kuanzia mwezi huu na umewaacha hewani huku idadi kubwa awaoni badiliko lolote.

Walio karibu na waziri nisaidieni kumfikishia hii
 
Duh ,,ukiwasikia wanvyokuhakikishia unaweka Imani ILA soo stupid!.. walopanda sizani hata wanafika 50% make kila unamuliza ni kilio, tumeambulia kupewa barua,,,make wanaanza kutengeneza madeni tena
 
Waziri mchengelwa una yapi ya kuwaambia watumishi baada ya kuwaaminisha kuwa wote wanaostahili kupanda madaraja watapandishwa na watalipwa kuanzia mwezi huu na umewaacha hewani huku idadi kubwa awaoni badiliko lolote.
Mnaongea sana na nyie watu
 
Waziri mchengelwa una yapi ya kuwaambia watumishi baada ya kuwaaminisha kuwa wote wanaostahili kupanda madaraja watapandishwa na watalipwa kuanzia mwezi huu na umewaacha hewani huku idadi kubwa awaoni badiliko lolote.
Mimi sijui aliongea nini lakini kama hapo nilipo-highlight ndicho alisema basi ndio mtego wenyewe huo, kwa sababu hakusema watumishi watapandishwa madaraja bali watumishi WANAOSTAHILI KUPANDA MADARAJA, watapandishwa madaraja!! Sasa kama unasema "idadi kubwa" hawaoni, wanasiasa watakuambia hiyo idadi ndogo unayoona ndio walistahili!

Je, una swali la ziada ndugu mjumbe?!
 
Waziri mchengelwa una yapi ya kuwaambia watumishi baada ya kuwaaminisha kuwa wote wanaostahili kupanda madaraja watapandishwa na watalipwa kuanzia mwezi huu na umewaacha hewani huku idadi kubwa awaoni badiliko lolote. Walio karibu na waziri nisaidieni kumfikishia hii
so painful nimeumia sana
 
Mimi sijui aliongea nini lakini kama hapo nilipo-highlight ndicho alisema basi ndio mtego wenyewe huo, kwa sababu hakusema watumishi watapandishwa madaraja bali watumishi WANAOSTAHILI KUPANDA MADARAJA, watapandishwa madaraja!! Sasa kama unasema "idadi kubwa" hawaoni, wanasiasa watakuambia hiyo idadi ndogo unayoona ndio walistahili!

Je, una swali la ziada ndugu mjumbe?!
Unaweza kumlaumu mchengerwa kumbe ni afisa utumishi wako hajapeleka taarifa utumishi au kachelewa kupeleka au kapeleka lakini Ina makosa mengi sasa ni vema kabla ya kumlaumu mchengerwa anza na afisa utumishi wako ili ujirishishe kama yup safi
 
Waziri mchengelwa una yapi ya kuwaambia watumishi baada ya kuwaaminisha kuwa wote wanaostahili kupanda madaraja watapandishwa na watalipwa kuanzia mwezi huu na umewaacha hewani huku idadi kubwa awaoni badiliko lolote.
hii nchi ni ya wahuni tu hamna kitu nimesikia pia watumishi wa shirika la kuhudumia viwanda vidogo ambao wana miaka zaidi ya 15 hawajapanda madaraja hata arrears za mwaka jana bado hawajalipwa mpaka leo na hawajui watalipwa lini.mameneja wa utumishi wa maafisa wao wamekuwa ni mzigo kwa shirika lenye mtandao mkubwa vile.
 
Kipi ujaelewa mkuu kaa usome vizuri idadi kubwa ya wanaostahili kupanda wamekuta mambo tofauti sasa hapo ujaelewa kipi au we ndo mchengelwa nini unajibu thread kiaina
 
SIDO nasikia kuna njaa kweli afadhali walimu.
hii nchi ni ya wahuni tu hamna kitu nimesikia pia watumishi wa shirika la kuhudumia viwanda vidogo ambao wana miaka zaidi ya 15 hawajapanda madaraja hata arrears za mwaka jana bado hawajalipwa mpaka leo na hawajui watalipwa lini.mameneja wa utumishi wa maafisa wao wamekuwa ni mzigo kwa shirika lenye mtandao mkubwa vile.
 
Unaweza kumlaumu mchengerwa kumbe ni afisa utumishi wako hajapeleka taarifa utumishi au kachelewa kupeleka au kapeleka lakini Ina makosa mengi sasa ni vema kabla ya kumlaumu mchengerwa anza na afisa utumishi wako ili ujirishishe kama yup safi
Vilio vyatanda kila kona mkuu karibu nchi zima watumishi wanalia yaani
 
Utapandishe madaraja bila budget

Hivi wabongo akili zetu uwa tunaziweka wapi?

Yaani hii budget ya Magufuli ndio inaishia tarehe30 mwezi huu halafu hii hii wapachike billion 300 zitakuwa zimetoka wapi?

Tena bila bunge kuzipitisha yaani mnataka turudi kulekule kwenye kufanya kazi bila kufuata sheria?

Mama Samia kwa hili wala siwezi kumlamu mwacheni afanye kazi kwa mjibu wa sheria na katiba huwezi kupandisha watu madaraja na kuwaongeza pesa wakati pesa hazipo kwenye budget.

Tumekuwa nchi ya kulau tu kwa kila kitu bila kufanya critical thinking "
 
Kuwa na subra, mwezi ujao watapandishwa wengine tena.
 
Waziri mchengelwa una yapi ya kuwaambia watumishi baada ya kuwaaminisha kuwa wote wanaostahili kupanda madaraja watapandishwa na watalipwa kuanzia mwezi huu na umewaacha hewani huku idadi kubwa awaoni badiliko lolote.
hii nchi ni ya wahuni tu hamna kitu nimesikia pia watumishi wa shirika la kuhudumia viwanda vidogo ambao wana miaka zaidi ya 15 hawajapanda madaraja hata arrears za mwaka jana bado hawajalipwa mpaka leo na hawajui watalipwa lini.mameneja wa utumishi wa maafisa wao wamekuwa ni mzigo kwa shirika lenye mtandao mkubwa vile.
Unaweza kumlaumu mchengerwa kumbe ni afisa utumishi wako hajapeleka taarifa utumishi au kachelewa kupeleka au kapeleka lakini Ina makosa mengi sasa ni vema kabla ya kumlaumu mchengerwa anza na afisa utumishi wako ili ujirishishe kama yup safi
taasisi zote jamani hapana na kama ndivyo awafukuze kazi hao maafisa utumishi maana watakuwa hawafai kabisa
 
Back
Top Bottom