digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu Tuache kuichafua serikali,Mimi na mke wangu ni watu wa chini Sana huku shuleni kwetu mpigamiti-Liwale lakini tumepanda madaraja bila ya konekisheni unayoisema ,Kama Kuna watu hawjapanda madaraja Basi ni wachache Sana na ni makosa madogo madogo,Bila kuwa na connection hupandi daraja,enzi za Connection zimerudi,kujuana
Hapa shuleni kwangu tuko walimu wanne ambao tulipaswa kupanda na wote tumepanda.