digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Mkuu Tuache kuichafua serikali,Mimi na mke wangu ni watu wa chini Sana huku shuleni kwetu mpigamiti-Liwale lakini tumepanda madaraja bila ya konekisheni unayoisema ,Kama Kuna watu hawjapanda madaraja Basi ni wachache Sana na ni makosa madogo madogo,Bila kuwa na connection hupandi daraja,enzi za Connection zimerudi,kujuana
Tatizo sio wabongo mkuu waziri ndiyo alitoa tamko hilo bwana mchengelwa lakini mambo yamekuw tofauti aseeUtapandishe madaraja bila budget
Hivi wabongo akili zetu uwa tunaziweka wapi?
Yaani hii budget ya Magufuli ndio inaishia tarehe30 mwezi huu halafu hii hii wapachike billion 300 zitakuwa zimetoka wapi?
Tena bila bunge kuzipitisha yaani mnataka turudi kulekule kwenye kufanya kazi bila kufuata sheria?
asantePole mdogo wangu, hayo maumivu tuliyapata kule Iringa siku ya May misi ahahahaha...Kazi iendelee
Si wachache mkuu idadi ya vilio ni kubwa mno wengi sana wamekutana na hewaMkuu Tuache kuichafua serikali,Mimi na mke wangu ni watu wa chini Sana huku shuleni kwetu mpigamiti-Liwale lakini tumepanda madaraja bila ya konekisheni unayoisema ,Kama Kuna watu hawjapanda madaraja Basi ni wachache Sana na ni makosa madogo madogo,
Hapa shuleni kwangu tuko walimu wanne ambao tulipaswa kupanda na wote tumepanda.
Leta video alichokisema kama aligusia kuhusu budget basi sisi ndio tumechemkaTatizo sio wabongo mkuu waziri ndiyo alitoa tamko hilo bwana mchengelwa lakini mambo yamekuw tofauti asee
Enzi za mwendazake hata kama tungekuwa na connection madaraja tungeyasikia kwenye radioBila kuwa na connection hupandi daraja,enzi za Connection zimerudi,kujuana
kuna taasisi iko chini ya wizara ya viwanda na biashara hakuna hata myumishi mmoja aliyepanda daraja na taasisi kama hizo ziko nyingi tu.Mkuu Tuache kuichafua serikali,Mimi na mke wangu ni watu wa chini Sana huku shuleni kwetu mpigamiti-Liwale lakini tumepanda madaraja bila ya konekisheni unayoisema ,Kama Kuna watu hawjapanda madaraja Basi ni wachache Sana na ni makosa madogo madogo,
Hapa shuleni kwangu tuko walimu wanne ambao tulipaswa kupanda na wote tumepanda.
Na nyie WATUMISHI TULIENI mbona mna HARAKA KIASI HICHO? Wapeni Muda Wajipange Tunaposema KATIBA MPYA Ndio Kila KITU hamwelewi KATIBA iliyopo Kupanda Daraja ni Ombi kwa Mwajiri Wakati KATIBA MPYA ni Takwa la SHERIAWaziri mchengelwa una yapi ya kuwaambia watumishi baada ya kuwaaminisha kuwa wote wanaostahili kupanda madaraja watapandishwa na watalipwa kuanzia mwezi huu na umewaacha hewani huku idadi kubwa awaoni badiliko lolote. Walio karibu na waziri nisaidieni kumfikishia hii
Mkuu katafute utazipata pia nilichoandika nina ushahidi nacho asee watu wanaumia halafu unaandika hivi kweli mkuuLeta video alichokisema kama aligusia kuhusu budget basi sisi ndio tumechemka
Dikteta mbona hakupandisha hata mmoja? mwacheni Waziri apige kaziBila kuwa na connection hupandi daraja,enzi za Connection zimerudi,kujuana
Wanataka wote shida zao ziishe ndani ya mwezi mmoja.Na nyie WATUMISHI TULIENI mbona mna HARAKA KIASI HICHO? Wapeni Muda Wajipange Tunaposema KATIBA MPYA Ndio Kila KITU hamwelewi KATIBA iliyopo Kupanda Daraja ni Ombi kwa Mwajiri Wakati KATIBA MPYA ni Takwa la SHERIA
Kumbe KATIBA iliyopo ndo imesababisha watumishi wengi awajapandishwa na wachache io io katiba imewapandisha daaaah mchengelwa nisameheNa nyie WATUMISHI TULIENI mbona mna HARAKA KIASI HICHO? Wapeni Muda Wajipange Tunaposema KATIBA MPYA Ndio Kila KITU hamwelewi KATIBA iliyopo Kupanda Daraja ni Ombi kwa Mwajiri Wakati KATIBA MPYA ni Takwa la SHERIA
Upo sahihi sana mkuuBora sasa hivi kuna wengi wamepandishwa. Miaka 6 kuko kimya utafikiri serikali imeajiri watumishi wapya wote.?
Una uhakika na ulichoandika mkuu au umejibu tuUtumishi sasa inaonekana ni kundi la wajinga walioenda shule, Waziri alisema elfu 70 wataona mabadiliko June na waliobaki mpk July, mnaanza kulialia tena, mbona enzi ya dikteta mlikuwa kimya? acheni Waziri afanye kazi yake vizuri.
Kuumia nini mbona kwa Magufuli miaka 5 hamkufa ?Mkuu katafute utazipata pia nilichoandika nina ushahidi nacho asee watu wanaumia halafu unaandika hivi kweli mkuu
Na hakika sn mkuu, nimefanya field utumishi mkuu, kuna wale ambao majina yao yaliingia kabla ya tarehe 10 kwenye lawson wote wamepata, mishahara huwa inapelekwa hazina kabla ya tarehe 15 ya mwezi husika mkuu, mtu jina limeingizwa kwenye lawson tarehe 20 unapataje mshahara mpya tarehe 24? tuwe na akili basi na sisi siyo kulialia, siipendi CCM lakini kwa hili hapana.Una uhakika na ulichoandika mkuu au umejibu tu
Wewe una akili sn kwenye kusema ukweli tuseme, utumishi inaonekana ni kundi la wajinga sn, kila saa kulia lia, Huyu Waziri anawatetea sn watumishi kuliko Waziri yoyote yule wa CCM lakini bado wanapiga kelele, mbona enzi ya dikteta walikaa kimya na TUCTA yao? wajinga sn hawa.Kuumia nini mbona kwa Magufuli miaka 5 hamkufa ?
Jaman tusipende kazi zifanyike kwa matamko tuache sheria zifanye kazi.
Wife wangu pia ajapanda ila nimemwambia ni michakato tu asubiri.
aise poleni sana,Hadi mapunjo yaliyolipwa nayo pia yamepunjwa licha ya kukatwa kodi