Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza rasmi tarehe ya ukomo wa viongozi wa mamlaka za Serikali za Mitaa ngazi ya Vijiji, Vitongoji na Mitaa. Hatua hii inakuja kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu.
Mchengerwa amesisitiza kuwa viongozi wote wa ngazi hizo wanapaswa kujiandaa kwa mabadiliko yatakayofanyika kikanuni kuelekea uchaguzi huo. ambapo madaraka yao yatakoma ifikapo tarehe 19 Oktoba na nafasi zao zitajazwa kufuatia kufanyika kwa uchaguzi Novemba 27.
Soma, Pia: