Waziri Mchengerwa: Haijawahi kutokea kiongozi wa nchi kupita vijijini kama anavyofanya Rais Samia

CV ya huyu ni ipi? Tusije kuwa tunadeal na takataka
 
Safi sana Mchengerwa. mama Samia kwa nia kabisa na kwa vitendo tunaona raia waliosahauliwa akiwakumbuka na yupo nao kuhakikisha wanapata huduma zote za msingi.

Eti mleta mada haelewi hata baada ya ufafanuzi mzuri kabisa wa aya hiyo.
 

Rais Nyerere alikuwa analala vijijini kwa kutumia gari hili la kukokotwa.
 
Hizi ni hela au kete za kuchezea bao? Mbona wanagawana hivyo kama hawana akili nzuri!
Mimi huwa nasikia ooh mama katoa hela, mama katoa hela kumbe anazo kikwelikweli! Abarikiwe na mungu wa mawinguni.
 
Twende na TEC watatuvusha, this time mtajua kuwa hamjui
 
Ni vijiji vipi hivyo? au vijiji vya Magogoni? hii nchi inazidi kuzama sababu ya ubinafsi na unafiki, watu hawana huruma na ndugu zao wa vijinini mpaka wameamua kuwasingizia
 
Ni vijiji vipi hivyo? au vijiji vya Magogoni? hii nchi inazidi kuzama sababu ya ubinafsi na unafiki, watu hawana huruma na ndugu zao wa vijinini mpaka wameamua kuwasingizia
Mimi nakazia tu yaliyosemwa na huyo anayesemekana kayasema hayo maneno, sina la ziada ya hapo mkuu wangu 'kichomiz'.

Ninakubaliana na maoni yako hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…