GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kilichotokea huko mkiwa na Timu hiyo ya Walemavu ndiyo kile kile kiliwatokeeni hata kwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars na Kushindwa kufanya vyema na Mimi huyu huyu GENTAMYCINE niliwaonyeni hapa hapa JamiiForums kuwa acheni kuingiza Siasa na Usisiemu Michezoni hamkunisikia.
Juzi baada ya Timu hii ya Taifa ya Walemavu kutinga kwa Kubahatisha Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwa Walemavu Waziri Mchengerwa na Swahiba wako Katibu Mkuu Dk. Abbas mlianza Nyodo, Majivuno, Majisifu huku mkianza kusema hiyo Timu inafanikiwa kwa Juhudi ya Serikali ya CCM ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Wenye Akili wachache akina GENTAMYCINE tulipoona na kusikia mnaanza Misifa yenu na Kuingiza Siasa na Usisiemu wakati hiyo ni Timu ya Watanzania wote bila kujali Dini, Kabila na Siasa tulijua kuwa itaishia hapo kwani mlishaharibu.
Nasikia Waziri Mchengerwa na Katibu Mkuu Dk. Abbas mlikuwa mnaamini hii Timu itafika Fainali na Kutwaa Ubingwa huo hivyo mlishaandaa Sherehe Kubwa na Hotuba za Kumsifia na hadi Kumlamba Miguu Boss wenu Mkuu aliyewateua na kutaka ije kuwa ni Moja ya Agenda ( Ajenda ) ya Kuombea Kura 2025 na Kumpambia Boss wenu kwa Watanzania kuwa Juhudi zake ndiyo zimezaa Matunda hayo.
Namalizia kwa kuwaambieni Waziri Mchengerwa na Katibu Mkuu Dk. Abbas kwamba ni mpaka pale mtakapoacha Misifa yenu ya Kisiasa ( hasa Usisiemu ) wenu na Kuzikabidhi hizi Timu zote katika Imani na Upendo wa Watanzania wote ndipo zitafanya vyema huko Kimataifa vingenevyo tusiopenda huu Upuuzi na Unafiki wenu tutakuwa tunaiombea Laana tu huku tukikanyaga Waya zisifanikiwe na wengine kama akina GENTAMYCINE tukikuombea tu Baya ( Balaa ) iwe isiwe litakupata.
Na najua Uzi huu mtausoma tu kwani nyote Wawili Waziri Mchengerwa na Katibu Mkuu Dk. Abbas ni Wadau ( Members ) hapa JamiiForums na huwa mnanisoma mno na sana tu GENTAMYCINE tena kila mkiingia ( Log In ) hapa.