johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Barabara kuu za kwenda wapi wakati Tazara inaimarishwa bwashee? 😄Sana yaani hatuna Barabara kuu nyie mnajengewa km 600 za Mitaani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barabara kuu za kwenda wapi wakati Tazara inaimarishwa bwashee? 😄Sana yaani hatuna Barabara kuu nyie mnajengewa km 600 za Mitaani?
Ndio.Hapo sawa, kwaiyo sasa ni contractors👍🏽
🚮🚮Barabara kuu za kwenda wapi wakati Tazara inaimarishwa bwashee? 😄
Imo AkachubeBarabara za mbezi musumi, mbezi msakuzi, na kimara bonyokwa zimo?
Ki ukweli it's too much waangalie na mikoanNchi hii siasa nyingi. Uswazi huko Tandale na Mwananyamala lami zinapita hadi mbele ya milango ya sebuleni, ila ushuani kulikopangiliwa barabara ni mbovu balaa.
Kama Elimu Yako haikusaidii kujiajiri basi utasubiri sana 🐼mtaani hali ni mbaya tunataka tuone vijana wetu wasomi wakipata ajira hizo lami zinamchango mdogo sana kwa raia
Ushuani Mbweni lami kila mtaa 🤣Nchi hii siasa nyingi. Uswazi huko Tandale na Mwananyamala lami zinapita hadi mbele ya milango ya sebuleni, ila ushuani kulikopangiliwa barabara ni mbovu balaa.
Serikali imesaini kuanza Ujenzi wa Barabara za Mitaa ya Jiji la Dar Zenye urefu wa km 250 Kwa zaidi ya Shilingi Trilioni 1.2.
Pamoja na kwamba Jiji la Dar ndio kitovu Cha Uchumi wa Nchi ila upendeleo umezidi.
Kwa jini la Dar peke yake Kuna miradi yenye zaidi ya km 600 kama Ifuatavyo.
1.DMDP-II km 250
2.TanRoads km 120
3.TARURA km 30
4.Manispaa za Jiji km 12
View: https://www.instagram.com/p/DBgwGoSN1FB/?igsh=MTJnYW8xbzBiMmMzaw==
My Take
Jiji Moja km 612? Wakati Kuna Mikoa haijaunganishwa na Lami achilia mbali Barabara za Mitaa.
Hii sio sawa na Wala sio Afya ila Hongereni watu wa Dar.
View: https://www.instagram.com/p/DBg2CmpKM_r/?igsh=d3BxYW4wZ253bHFq
Inauma sana mkuu na mbaya sana hii.Ki ukweli it's too much waangalie na mikoan
Serikali imesaini kuanza Ujenzi wa Barabara za Mitaa ya Jiji la Dar Zenye urefu wa km 250 Kwa zaidi ya Shilingi Trilioni 1.2.
Pamoja na kwamba Jiji la Dar ndio kitovu Cha Uchumi wa Nchi ila upendeleo umezidi.
Kwa jini la Dar peke yake Kuna miradi yenye zaidi ya km 600 kama Ifuatavyo. Pia soma Miaka Zaidi ya 60 Baada ya Uhuru,Tanzania Imeshindwa Kuondoa Mizizi ya Ukoloni Kwa Nchi kuwa tegemezi wa Uchumi na Mapato Kwa Jiji Moja tuu la Dar
1.DMDP-II km 250
2.TanRoads km 120
3.TARURA km 30
4.Manispaa za Jiji km 12
View: https://www.instagram.com/p/DBgwGoSN1FB/?igsh=MTJnYW8xbzBiMmMzaw==
My Take
Jiji Moja km 612? Wakati Kuna Mikoa haijaunganishwa na Lami achilia mbali Barabara za Mitaa.
Hii sio sawa na Wala sio Afya ila Hongereni watu wa Dar. Pia soma Shilingi Trilioni 1 kutoka World Bank kuigeuza Dar kuwa kama Dubai. Ni mkopo wa mradi wa DMDP-II
View: https://www.instagram.com/p/DBg2CmpKM_r/?igsh=d3BxYW4wZ253bHFq
Kuna Mikoa zaidi ya 17 haijaunganishwa na Lami Mkuu na kote huko Kuna watu na UchumiHoja nzr ila mm naona serikal itazame ilikufkia mikoa mngne kwa mfano labda Tabora lind mtwara inapaswa pawekwe miradi ya kiuchumi wawekeze kweny kilimo, mifugo na uvuvi hii itasaidia kuleta ushndan wamapatao na kuinua uchumi wetu kwa haraka sana lakn syo hizii mirad ming kukmbizwa dar uku tumezka mirad endelevu na enye tija na afya kwa ustawi wa uchumi wetu
Kabla ya mkopo walishasaini na hao unaosema wakandarasi na ulikua unaanza AprilWewe ni mjinga sana ,Sasa kwenye saini Waziri wa Fedha na Katibu Mkuu wa Fedha wanafanya nini hapo kwenye kusaini?
Uwe unaelewa,nimekwambia hapo walisaini kuoatiwa mikopo na WB na sio kusainiana kazi na wakandarasi.
Leo ndio wamesainiana kazi na wakandarasi
Hata Mbweni labda barabara kubwa tu ila za mitaani hakuna hata moja ya lamiUshuani Mbweni lami kila mtaa 🤣
Barabara za lami za mitaani siyo anasa. Hai make sense mji kama Dar mpaka leo kuwa na barabara mbovu kama zilivyo.Ki ukweli it's too much waangalie na mikoan