Waziri Mchengerwa: Tirioni moja kutumika kuboresha Miundombunu Dar

Hapo sawa, kwaiyo sasa ni contractors👍🏽
Ndio.

Pale walikuwa wanasiani kukopa hela ndio maana kina Waziri wa Fedha ,Katibu Mkuu na Tamisemi.(Mkopeshaji na beneficiary).

Leo walikuwa wana engage contractors site (client na contractor)
 
Barabara za mbezi musumi, mbezi msakuzi, na kimara bonyokwa zimo?
 
Yaani km 250 trilioni 1 na bilioni miambili?tumeigwa na kitu kizito.Hapa nimemkumbuka mwamba mzalendo.Nchi imekosa mwelekeo kabisa
 
Hoja nzr ila mm naona serikal itazame ilikufkia mikoa mngne kwa mfano labda Tabora lind mtwara inapaswa pawekwe miradi ya kiuchumi wawekeze kweny kilimo, mifugo na uvuvi hii itasaidia kuleta ushndan wamapatao na kuinua uchumi wetu kwa haraka sana lakn syo hizii mirad ming kukmbizwa dar uku tumezka mirad endelevu na enye tija na afya kwa ustawi wa uchumi wetu
 
Kabla ya kulalamikia
Angalia idadi ya watu wanaopatikana Dat
 
Kuna Mikoa zaidi ya 17 haijaunganishwa na Lami Mkuu na kote huko Kuna watu na Uchumi
 
Kabla ya mkopo walishasaini na hao unaosema wakandarasi na ulikua unaanza April
Soma taarifa hii ya tamisemi imeeleza wamesaini na wakandarasi
 
Hata zitengwe Tril. 25 za kujenga barabara bila usimamizi kuzuia Malori makubwa na Ujenzi hohela wa Yards, kuruhusu Semi mpaka Vichochoroni, FAW za Mchina za kubeba Mchanga mpaka vichochoroni hakuna mtakachofanya.
Haya magari ni UNAJISI WA BARABARA. Anzeni kwanza kuzuia unajisi ndipo mjenge barabara mpya. Ushahidi upo kwenye hizi barabara za World Bank zilizojengwa kwa ubora mkubwa sana lkn sasa hivi zimechakazwa Vibaya sana.

Angalia Barabara ya kuanzia Mchicha Via Tazara kutokea VETENARY TMK kwishaaa malori makubwa yametafuna yote na deni tunalipa!

Angalia barabara ya External kwenda Majichumvi, kwishaaaa malori yamepewa Eneo la Jeshi pale Majichumvi ni shidaaaa.

Waafrika tunaUnyani akilini, akili zetu ni tope sana. Haiwezekani ujenge barabara kwa Billions of money harafu unaziharibu haribu tuuu.
Tujitathmini kama Nchi, Uholela umezidi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…