Waziri Mchengerwa: Tirioni moja kutumika kuboresha Miundombunu Dar

As if Dar peke yao ndiyo walipa kodi wenye kustahili barabara nzuri. Huu ni uonevu wa wazi kwa wananchi wasioishi Dar.
 
Mods aliyewaambia mbadilishe heading ya Uzi wangu ni nani?

Harafu mbaweka heading ya kipuuzi
 
As if Dar peke yao ndiyo walipa kodi wenye kustahili barabara nzuri. Huu ni uonevu wa wazi kwa wananchi wasioishi Dar.
Kwa maoni yangu sio sawa na mbaya zaidi hao Jamaa Huwa hawapigi kura lakini Serikali inawaoa kipaombele.

Kule Mlowo Kwa kina Lucas Mwashambwa wanahitaji sana Barabara ya Mlowo-Kamsamba via Halungu Hadi Rukwa lakini hakuna kinachoendelea Cha maana ila Dar tuu Kila siku.

Hili haliko sawa,wahusika waelewe na sio ujanja kufanya hivyo.
 
Mlowo mpaka kamsamba kuvuka hadi kilimatundu kunahitajika sana barabara ya Rami.Serikali imetuahidi kutujengea kutoka Mlowo kupita igamba,harungu,itaka,utambalila mpaka huko kamsamba ili tuwe tunateleza tu bila vumbi huku tukibubukikwa na machozi ya furaha.
 
Ahadi Toka 2015 ,harafu mumekimbia kwenu mnatamba Dar kwenye Majiji ya watu ,letenj pesa nyumbani tupate Barabara.

Sisi tunahitaji Barabara ya kupitisha mazao yetu nyie mnatia vumbi Ili suti zenu huko Dar zisipate matope
 
Mleta Mada umeeleweka kabisa ndugu zangu haimaanishi Dar kusjengwe wajenge ila kilometer zaidi ya 500 kwa Mkoa moja na umaskini wetu huu sio sawa angalau wangejenga km 200 hizo zingine zikasambazwa na mikoan kuna wilaya hazijaunganishwa kwa Rami mjue
 
Inauma sana mkuu na mbaya sana hii.

Mambo kama haya ndio yanafanya watu wasijiandikishe na kupiga kura
Nakubaliana na wewe kuhusu DSM kupendelewa barabara za "rami" za mitaa,tena kwa gharama kubwa zaidi ya uhalisia( nisiambiwe eti mifereji ya maji, taa, matuta ndivyo vimeongeza gharama), wakati mikoani huku hatuna barabara hizo, ila si kweli kuwa mambo kama haya ndiyo yanafanya watu wasijiandikishe na kupiga kura, kwani tumeambiwa na Waziri wa TAMISEMI kuwa, Watz 31 milioni wamejiandikisha, na hata kama si kweli,sababu ya msingi kwenye kutojiandikisha ni mchakato mzima wa uchaguzi kutothamini kura zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…