Waziri Mchengerwa: Tirioni moja kutumika kuboresha Miundombunu Dar

Barabara ya Mbezi Victoria kwenda Bunju via Mpigi Magoe nayo ikumbukwe sasa.

Tunajua hii ni barabara ya TANROADS na tenda ilitangazwa mwezi June 2024 lakini mpaka sasa kimya. Taratibu za tenda zote hufanyikia kwenye mfumo wa NEST na kila hatua ni rahisi kuijua kwa kuona tenda imefikia wapi. Lakini baada ya hii tenda kufunguliwa, imepotea kabisa hata kwenye mfumo.

Tunaomba kujua utaratibu umefikia wapi au ndo imeisha tena??

Kwa saaa barabara inafanyiwa maintanance ya kukwanguliwa ila haina hata kifusi. TANROADS mtusaidie jamani.
 
Kwa kweli hata Mimi binafsi kusema nitakuja kusimama kwenye line nikaoige kura hapana Hadi hapo wa Mikoani tutakapothaminiwa.

Ona wenzetu hapa ni Botswana na huu sio Mji Mkuu Gaborone Bali Mji wa huko Mkoani πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/1849699165518860759?t=wHEhPgJFNmETwDf7FJYvVQ&s=19
 
Watanzania tuache uchawa wa mtu au chama bali tuwe machawa wa maendeleo.
Kwenye upangaji wa mgawanyo wa miradi kufanywa wapi,hii mikoa yetu inapunjwa mno mno.
 
Jamani kumbukeni Kuna Mikoa mingine pia sio daily Dar πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DCMAPdJtOl8/?igsh=MTFuZHlwYXR6NnlkNw==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…