Waziri Mhagama awajulia hali Mama Janeth Magufuli na Mama Asina Kawawa

Mama Janeth kanenepa na kunenepa. Daah! Dikteta alikuwa hatari Sana.
Natamani nipate kuwa karibu naye ni we tulizo lake kwani ni muhimu na haki ya kisaikolojia kwake kuipata
 
Soon Mama anaenda kuwekewa puto Mloganzila.

Kama Vipi arudi tu kushika chaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…