Waziri Mhagama awajulia hali Mama Janeth Magufuli na Mama Asina Kawawa

Nchi imejaa wajane wa viongozi wakubwa...toka kwa mama Karume, mama Maria hadi kwa mama Magufuli...

Inatafakarisha...

Wanawake tunawaoa wadogo kuliko sisi kwa miaka.

Kwa kufata age tu Chance ya wanaume kutangulia kufa ni kubwa. Maana mume upo 60 mke yupo 50 ama chini zaidi
 
Aliishi Kwa mateso mno! Mungu mwema sana
Kuna mtu aliniambia alishuhudia mwamba akimpigisha mama push up kama adhabu ya kuhamisha matofali toka sehemu moja kwenda pengine bila kum consult.
 
Mama Janeth Magufuli, Mungu aendelee kumtunza mama wa watu
 
Kauli ya wazuri hawafi inawatesa, CCM wameanza kujipendekeza kwa kuwatembelea wajane wa wabaya waliokufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…