Waziri Mhagama: Hatupendezwi kutuita Mawaziri ni wanafiki

Hatua zimekwishachukuliwa zimechukuliwa zimepelekwa wapi hizo hatua
 
Unafiki ndio kazi ya mawaziri nape,january na mwigulu wanapata wapi ujasiri wa kusema kama sio unafiki!
 
Yaani hapo mmeguswa mshono. Nyie ni wanafiki na wezi.
 
Huyu mama kazi yake ilikuwa kumtetea Mwendazake bungeni, kwa sasa yupo yupo kama mzigo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tupo kipindi kibaya mno, kila mtu anajali maslah yeke, yaan ni full upigaji.
 
Tupo kipindi kibaya mno, kila mtu anajali maslah yeke, yaan ni full upigaji.
Nina mashaka kama budget za wizara nyingi zitafika December, kumekuwa na matumizi makubwa mno kwa mawaziri na watendaji haswa kwenye safar.
 
Ila wanasiasa asilimia kubwa ni wanafki

Ova
 
Kweli unajua ulicho andika hapa?
Kazi ni kipimo Cha utu
 

Ukisikia puu ujuwe limempata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…