Waziri Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Ahmad Al Homaid

Waziri Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Ahmad Al Homaid

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo tarehe 24 Machi,2022, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Mhe. Balozi Hussain Ahmad Al Homaid Jijini Dar es Salaam.

Viongozi hao pamoja na mambo mengine wamezungumzia ushirikiano wa Nchi hizo mbili katika kuimarisha na kuongeza fursa za Elimu nchini.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Hemedi Mgaza.

IMG-20220324-WA0012.jpg
IMG-20220324-WA0016.jpg
IMG-20220324-WA0013.jpg
IMG-20220324-WA0011.jpg
IMG-20220324-WA0015.jpg
 
Vip tena,, kwani tumetembeza bakuli huko?
 
Hao waarabu sio wakuwaomba ushauri wa kielimu tutatumbukia shimoni
 
Mimi nadhani ni ziara ya kutafuta pesa kwa sekta ya elimu ikijikita katika kuboresha miundo mbinu yake kama madarasa,mabweni,mahabara,maktaba,viwanja vya michezo.Na labda capacity building katika mafunzo na ajira za walimu n.k
 
Hawa hawajengi madarasa wanajenga madarasa.
 
Back
Top Bottom