Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Ukionana na tajiri lazima hela watoweTunapiga kizinga tena
Mimi nadhani ni ziara ya kutafuta pesa kwa sekta ya elimu ikijikita katika kuboresha miundo mbinu yake kama madarasa,mabweni,mahabara,maktaba,viwanja vya michezo.Na labda capacity building katika mafunzo na ajira za walimu n.k
Kwamba mnawazidi elimu!!Hawa hawajengi madarasa wanajenga madarasa.
Kielimu hata robo huwafikiiHao waarabu sio wakuwaomba ushauri wa kielimu tutatumbukia shimoni
We baki tu na chuki zako, lkn hao ndo wenye hela tena hawakopeshi kwa riba.Hao waarabu sio wakuwaomba ushauri wa kielimu tutatumbukia shimoni