Waziri Mkenda atoa ufafanuzi kufutwa Kwa kozi za Ualimu Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, ametoa ufafanuzi kuhusu hatua ya kufutwa kwa baadhi ya kozi za ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ambayo imeibua taharuki miongoni mwa wanafunzi na wadau wa elimu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 22, 2025 jijini Dodoma, Prof. Mkenda amesema mabadiliko hayo ni sehemu ya mkakati wa kuboresha ubora wa walimu kwa kuhakikisha wanafunzi wanajikita zaidi katika maudhui ya masomo wanayokwenda kufundisha.

"Badala ya kutumia muda mrefu kujifunza namna ya kufundisha, sasa mwanafunzi atatumia muda mwingi kujifunza maudhui ya somo husika, kisha akapate mbinu za kufundishia," amesema Prof. Mkenda.

Ametolea mfano kozi ya Bachelor of Education in Science and ICT iliyofutwa, akisema kozi hiyo sasa itatolewa kupitia Bachelor of Science with Education, ambayo inalenga kumuwezesha mwanafunzi kusoma kwa kina masomo ya sayansi kabla ya kujifunza mbinu za ualimu.

“Kozi ya awali ilikuwa na maudhui mengi ya Education na kidogo sana kwenye sayansi na ICT. Sasa tumehamia kwenye mfumo ambao mwanafunzi atasoma kwa kina somo analokwenda kufundisha, kisha apate mafunzo ya ualimu kwa ufanisi,” amesema.

Pia soma ~ Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu kuweni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali
 
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, ametoa ufafanuzi kuhusu hatua ya kufutwa kwa baadhi ya kozi za Ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ambayo imeibua taharuki miongoni mwa wanafunzi na wadau wa elimu.

Bachelor of science with education🤣🤣🤣🤣. Kwani education ni science au art? Hivi vichwa vya habari vya kozi msingi wake ni nini? Nitaambiwa job market anaysis/survey🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Afrika kila siku tunatunga mitaala isiyokuwa na faida sio hata kwa msomaji wala taifa
 
Bachelor of Science with Education, ambayo inalenga kumuwezesha mwanafunzi kusoma kwa kina masomo ya sayansi kabla ya kujifunza mbinu za ualimu.
Right from the inception of the UDSM, kulikuwa na kozi hii ya BSc with Education, Unasoma science masomo mawlili say Chemistry and Biology with Education...umo kuna teaching methods, psychology of education, philosophy of education etc etc....wajinga hawa wakaifuta
 
UDSM wana programme inaitwa Bachelor of Education in Psychology na katika hiyo programme hakuna kabisa teaching subjects,, vip wanasemaje kuhusu hii course
 
Teaching subject mbona ipo, ndo iyo psychology
Shida ya hiyo programme unajua ni nini? Psychology ni somo linalofundishwa vyuoni tu, na ili uwe na sifa za kujiunga kuwa mkufunzi wa chuo ni lazima uwe na GPA ya 3.5 au 3.8 undergraduate, hivyo wengi waliomaliza na chini ya GPA 3.5 wanakosa nafasi ya kufundisha popote.

Na vile vyuo vya ualimu (TTCs) mara nyingi hawachukui ajira mpya, wao huwa-upgrade walimu kutoka secondary au msingi, sasa hawa wahitimu wa BED PSYCHOLOGY UDSM hawawezi kufundisha secondary au msingi kwa sababu hawana masomo ya level hizo.

Wengi waliomaliza hiyo programme UDSM na kupata GPA ya chini hawajui waende wapi zaidi ya kuapply kazi za u-warden, ambako wanacompete na fani nyengine kama sociology, social work n.k. Na pia wanakosa nafasi ya kufundisha kama walimu, fani waliyoisomea.
 
Hivi mtu unajijua kabisa sio in-service halafu usome hiyo course ili iweje!
 
Yeah ni changamoto hasa kwa hawa freshers, UDOM ilikuwa una-opt na masomo mawili ya kufundishia kama kawaida na watu walikuwa wanaajiliwa Secondary, ila ndio hivyo imefutwa,,, ila ilikuwa ni programme mzuri sana na flexible kwa namna ilivyokuwa inatolewa UDOM
 
Hivi mtu unajijua kabisa sio in-service halafu usome hiyo course ili iweje!
Na wengi hawafuatilii programme chuo kiundani kabla ya kuomba. Wakiona education tu basi wanaomba bila kujua nini makusudio ya programme husika
 
Right from the inception of the UDSM, kulikuwa na kozi hii ya BSc with Education, Unasoma science masomo mawlili say Chemistry and Biology with Education...umo kuna teaching methods, psychology of education, philosophy of education etc etc....wajinga hawa wakaifuta
Wakaifuta lini ?
Mbona Duce na Muce wana BAED NA BSC ED ?
 
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, ametoa ufafanuzi kuhusu hatua ya kufutwa kwa baadhi ya kozi za ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ambayo imeibua taharuki miongoni mwa wanafunzi na wadau wa elimu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 22, 2025 jijini Dodoma, Prof. Mkenda amesema mabadiliko hayo ni sehemu ya mkakati wa kuboresha ubora wa walimu kwa kuhakikisha wanafunzi wanajikita zaidi katika maudhui ya masomo wanayokwenda kufundisha.

"Badala ya kutumia muda mrefu kujifunza namna ya kufundisha, sasa mwanafunzi atatumia muda mwingi kujifunza maudhui ya somo husika, kisha akapate mbinu za kufundishia," amesema Prof. Mkenda.

Ametolea mfano kozi ya Bachelor of Education in Science and ICT iliyofutwa, akisema kozi hiyo sasa itatolewa kupitia Bachelor of Science with Education, ambayo inalenga kumuwezesha mwanafunzi kusoma kwa kina masomo ya sayansi kabla ya kujifunza mbinu za ualimu.

“Kozi ya awali ilikuwa na maudhui mengi ya Education na kidogo sana kwenye sayansi na ICT. Sasa tumehamia kwenye mfumo ambao mwanafunzi atasoma kwa kina somo analokwenda kufundisha, kisha apate mafunzo ya ualimu kwa ufanisi,” amesema.

Pia soma ~ Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu kuweni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali
Mimi nikisikia mtanzania anaitwa professor tu namfananisha na 👉💩💩💩
 
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, ametoa ufafanuzi kuhusu hatua ya kufutwa kwa baadhi ya kozi za Ualimu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ambayo imeibua taharuki miongoni mwa wanafunzi na wadau wa elimu.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 22, 2025 jijini Dodoma, Prof. Mkenda amesema mabadiliko hayo ni sehemu ya mkakati wa kuboresha ubora wa walimu kwa kuhakikisha wanafunzi wanajikita zaidi katika maudhui ya masomo wanayokwenda kufundisha.

"Badala ya kutumia muda mrefu kujifunza namna ya kufundisha, sasa mwanafunzi atatumia muda mwingi kujifunza maudhui ya somo husika, kisha akapate mbinu za kufundishia," amesema Prof. Mkenda.

Ametolea mfano kozi ya Bachelor of Education in Science and ICT iliyofutwa, akisema kozi hiyo sasa itatolewa kupitia Bachelor of Science with Education, ambayo inalenga kumuwezesha mwanafunzi kusoma kwa kina masomo ya sayansi kabla ya kujifunza mbinu za ualimu.

“Kozi ya awali ilikuwa na maudhui mengi ya Education na kidogo sana kwenye sayansi na ICT. Sasa tumehamia kwenye mfumo ambao mwanafunzi atasoma kwa kina somo analokwenda kufundisha, kisha apate mafunzo ya ualimu kwa ufanisi,” amesema.

Pia soma ~ Wizara ya Elimu na taasisi zinazosimamia elimu ya juu kuweni makini na maelekezo ya muda mfupi, ikiwemo kufungia programu mbalimbali
Waziri yuko sahihi kwa sababu serikali ndiye mwajiri no.1 kwa hiyo mwajiri ndiye anayejipangia anataka wafanyakazi wa aina gani na wasome nini, Lakini kama unajua hauhitaji mabadiliko na hutaki kuajiriwa soma kozi ambazo zinaendana na wewe
 
Naona ni uamuzi mzuri, sababu ukihitimu na Bachelor of Science with Education unakuwa na nafasi pana ya ajira nje ya ualimu kama utaamua ku opt masomo mengi ya science.
Lakini Bachelor of Education in Science and ICT naona inakumeza sana kwenye ualimu kuliko science.
 
Back
Top Bottom