Waziri Mkenda atoa ufafanuzi kufutwa Kwa kozi za Ualimu Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)

Waziri Mkenda atoa ufafanuzi kufutwa Kwa kozi za Ualimu Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)

soma mkenda alivyosema kuwa sasa kutakuwa na BSc with Educatiion etc meaning ilikuwa haipo au nakosea?
Mimi nimesoma MUCE na hiyo course ilikuwepo, wewe umesoma wapi ?
Mlimani, muce au duce ?
 
Shida ya hiyo programme unajua ni nini? Psychology ni somo linalofundishwa vyuoni tu, na ili uwe na sifa za kujiunga kuwa mkufunzi wa chuo ni lazima uwe na GPA ya 3.5 au 3.8 undergraduate, hivyo wengi waliomaliza na chini ya GPA 3.5 wanakosa nafasi ya kufundisha popote.

Na vile vyuo vya ualimu (TTCs) mara nyingi hawachukui ajira mpya, wao huwa-upgrade walimu kutoka secondary au msingi, sasa hawa wahitimu wa BED PSYCHOLOGY UDSM hawawezi kufundisha secondary au msingi kwa sababu hawana masomo ya level hizo.

Wengi waliomaliza hiyo programme UDSM na kupata GPA ya chini hawajui waende wapi zaidi ya kuapply kazi za u-warden, ambako wanacompete na fani nyengine kama sociology, social work n.k. Na pia wanakosa nafasi ya kufundisha kama walimu, fani waliyoisomea.
Kuna jamaa yangu alisoma hii kozi hapo UDSM aise tangu 2015 kahitimu mpaka leo yupo kitaa .kwenye hiyo kozi hana somo la kufundishia zaidi ya psychology yenyewe
 
Back
Top Bottom