Mapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?Hii hali ndio inafanya watu wachukie kazi ya ualimu na wengine waione ni kazi ya utumwa na inayo dharauliwa kabisa!
Hivi inakuwaje Mwalimu anaporwa kiti au dawati la kukali kisha anakwenda kupewa mwanafunzi?
Haki za walimu ziko wapi kwanini mnawadhalilisha na kutweza utu wao namna hii?
Kwanini hiyo Kamati na watendaji walishindwa kutafita meza au madawati halafu walimu wana adhibiwa kwa kukosa pa kukaa?
Hivi hawa walimu ilikuwa jukumu lao kutafuta madawati? Kwanini hawa walimu wasichukie hii kazi? Wamekosa nini hadi wapewe hii adhamu?
Halafu DED ananunua gari la Mil 600 nchi ya vichaaHii hali ndio inafanya watu wachukie kazi ya ualimu na wengine waione ni kazi ya utumwa na inayo dharauliwa kabisa!
Hivi inakuwaje Mwalimu anaporwa kiti au dawati la kukali kisha anakwenda kupewa mwanafunzi?
Haki za walimu ziko wapi kwanini mnawadhalilisha na kutweza utu wao namna hii?
Kwanini hiyo Kamati na watendaji walishindwa kutafita meza au madawati halafu walimu wana adhibiwa kwa kukosa pa kukaa?
Hivi hawa walimu ilikuwa jukumu lao kutafuta madawati? Kwanini hawa walimu wasichukie hii kazi? Wamekosa nini hadi wapewe hii adhamu?
Kazi ya mwalimu ni kumtafutia mjukuu wako dawati ?Mapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?
Hao wangechapwa na fimbo juu.
Hao ndiyo walimu wanaofundisha wanafunzi ujinga.
Kwa hiyo ni jukumu la mwalimu kuwatafutia wanafunzi madawati? Huu ni muongozo mpya?Mapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?
Hao wangechapwa na fimbo juu.
Hao ndiyo walimu wanaofundisha wanafunzi ujinga.
Alisomea kitaftia watt dawati au alisomea kuwapa watoto maarifa au Cheti chake kinasomaje?.. jmn Wana JF hivi mloganzira hakuna wodi ya wendawazimu apewe kitanda huyu kiumbeHao waalimu ndio wajinga na wapumbavu.
Ukikubalika mtu akudharau kisa sababu ya umaskini au elimu au kipato chako nawe ukafanya kile alichokuamuru wewe ni Mpumbavu
Kuna muda unaongeaga ujinga sana wewe bibiMapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?
Hao wangechapwa na fimbo juu.
Hao ndiyo walimu wanaofundisha wanafunzi ujinga.
Alisomea kitaftia watt dawati au alisomea kuwapa watoto maarifa au Cheti chake kinasomaje?.. jmn Wana JF hivi mloganzira hakuna wodi ya wendawazimu apewe kitanda huyu kiumbe
Wewe wachana na ujinga wangu, ukimjibu mjinga, wewe ndiye unakuwa mjinga zaidi. Jibu hoja zake, si za kijinga?Kuna muda unaongeaga ujinga sana wewe bibi
Ajielewi huyo achana naeKwa hiyo ni jukumu la mwalimu kuwatafutia wanafunzi madawati? Huu ni muongozo mpya?
Walimu wakiajiriwa si Wana sign mkataba wa kazi? Kwenye mkataba huo Kuna jukumu la mwalimu kumtafutia mwanafunzi dawati la kukalia??Wewe wachana na ujinga wangu, ukimjibu mjinga, wewe ndiye unakuwa mjinga zaidi. Jibu hoja zake, si za kijinga?
Pamoja na kumchukulia Samia fomu ya ugombeaSawa wamenyang'anywa madawati lakini utaratibu ni uleule, Million 10 kila goli, Stars angeshinda jana Billion 1.3.
Alisikika Lumumba buku saba akiongea kwa hisia.