Sean Paul
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,330
- 3,289
Mke wa waziri mkuu mstaafu analipwa pensio na yeye mpaka afe.😃😃😃Halafu DED ananunua gari la Mil 600 nchi ya vichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wa waziri mkuu mstaafu analipwa pensio na yeye mpaka afe.😃😃😃Halafu DED ananunua gari la Mil 600 nchi ya vichaa
Jukumu la kuhakikisha samani za ofisi zipo ni la nani? Waalimu ni kazi yao kuwatafutia wanafunzi madawati?Mapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?
Hao wangechapwa na fimbo juu.
Hao ndiyo walimu wanaofundisha wanafunzi ujinga.
Uongozi wa kijiji na mtendaji Kata wao wamejinunulia samani za ofisi zao?Hii hali ndio inafanya watu wachukie kazi ya ualimu na wengine waione ni kazi ya utumwa na inayo dharauliwa kabisa!
Hivi inakuwaje Mwalimu anaporwa kiti au dawati la kukali kisha anakwenda kupewa mwanafunzi?
Haki za walimu ziko wapi kwanini mnawadhalilisha na kutweza utu wao namna hii?
Kwanini hiyo Kamati na watendaji walishindwa kutafita meza au madawati halafu walimu wana adhibiwa kwa kukosa pa kukaa?
Hivi hawa walimu ilikuwa jukumu lao kutafuta madawati? Kwanini hawa walimu wasichukie hii kazi? Wamekosa nini hadi wapewe hii adhamu?
View attachment 2882400
Mkuu kweli kazi ya kutafuta dawati ni ya mwalimu? Kipindi Tunaambiwa hela za uviko zimefanya makubwa kwenye shule zote tanzania hawa walisahaulika au ilikuaje. Tusiwabebeshe mzigo mkubwa shule zinamilikiwa na mkurugenzi wanafunzi kukosa madawati si kosa la mwalimu labda kama wakifeli kwa uzembe wa mwalimu hapo walaumiwe ila swala la miundombinu ya shule ni kazi ya serikali na serikali imeshindwa ikiongozwa na raisi msafiri asiejua changamoto za wananchi wakeMapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?
Hao wangechapwa na fimbo juu.
Hao ndiyo walimu wanaofundisha wanafunzi ujinga.
Kuna baadhi ya members hawajuagi hii kituKuna muda unaongeaga ujinga sana wewe bibi
Elezea kidogo wanawatafutiaje?Mapoyoyo hai walimu. Wanashindwa kuwatafutia madawati wanafunzi qanajitafutia wao?
Hao wangechapwa na fimbo juu.
Hao ndiyo walimu wanaofundisha wanafunzi ujinga.
Na muda mwingine walimu nao wanazingua, kila mwezi shule zinapelekewa capitation, kuna fungu la ukarabati na fungu la manunuzi ya vifaa....wangeweza kutengeneza samani za ofisi ya walimu.....Ila ukute Mwalimu mkuu kageuza hayo mafungu posho yake binafsi.Hiyo shule ipo kwenye wilaya ambayo ina mbunge ina mkuu wa wilaya na mkurugenzi afisa elimu na wengine wenye mamlaka inapotokea uhaba kama hivyo wawajibike wao sio waalimu wanawaonea kesho hiyo shule watoto wakifeli bado mtalaumu walimu sio poa kabisa
Kwani huyo anasomaga basi kilichoandikwa.Kwa hiyo ni jukumu la mwalimu kuwatafutia wanafunzi madawati? Huu ni muongozo mpya?
Kwa Leo asamehewe....kazingua Yani🤣🤣🤣Kwani huyo anasomaga basi kilichoandikwa.
Hizo capitation wanapewa walimu au anakabidhiwa mwalimu mkuu!Na muda mwingine walimu nao wanazingua, kila mwezi shule zinapelekewa capitation, kuna fungu la ukarabati na fungu la manunuzi ya vifaa....wangeweza kutengeneza samani za ofisi ya walimu.....Ila ukute Mwalimu mkuu kageuza hayo mafungu posho yake binafsi.
Hii Kada acha idharauliwe, kuna watu wabinafsi na wenye roho mbaya wamejazana humo
Wameamua tu Hawa😂😂Hii hali ndio inafanya watu wachukie kazi ya ualimu na wengine waione ni kazi ya utumwa na inayo dharauliwa kabisa!
Hivi inakuwaje Mwalimu anaporwa kiti au dawati la kukali kisha anakwenda kupewa mwanafunzi?
Haki za walimu ziko wapi kwanini mnawadhalilisha na kutweza utu wao namna hii?
Kwanini hiyo Kamati na watendaji walishindwa kutafita meza au madawati halafu walimu wana adhibiwa kwa kukosa pa kukaa?
Hivi hawa walimu ilikuwa jukumu lao kutafuta madawati? Kwanini hawa walimu wasichukie hii kazi? Wamekosa nini hadi wapewe hii adhamu?
View attachment 2882400
Sasa anapoandika pumba zake hapa,walimu wamenyang'anywa madawati:Kwa Leo asamehewe....kazingua Yani🤣🤣🤣
Inaingizwa kwenye AC ya shule, Mwalimu mkuu, mhasibu na mwenyekiti wa kamati ya shule ndio wanaweza kuiaccess....Hizo capitation wanapewa walimu au anakabidhiwa mwalimu mkuu!