johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa kilimo Prof Adolf Mkenda amesema hali ni shwari kabisa katika mpaka wetu na Kenya na kwa taarifa za leo hakuna mzigo wowote uliokwama mpakani.
Mkenda amesema watanzania wasiwe na wasiwasi kwani sasa biashara kati yetu na Kenya imeimarika sana labda kuliko wakati mwingine wowote.
Chanzo: ITV habari za saa
Mkenda amesema watanzania wasiwe na wasiwasi kwani sasa biashara kati yetu na Kenya imeimarika sana labda kuliko wakati mwingine wowote.
Chanzo: ITV habari za saa