Waziri Mkenda: Kwa sasa hakuna mazao ya Wakulima na Wafanyabiashara yanayozuiwa kwenye mpaka wetu na Kenya

Waziri Mkenda: Kwa sasa hakuna mazao ya Wakulima na Wafanyabiashara yanayozuiwa kwenye mpaka wetu na Kenya

Sasa mama ahamie na tunduma / nakonde mpakani na Zambia.....nako kuna figisu figisu
 
Mwendazake alikuw shetani kabisa. Yeye raha yake ilikuwa kuona wote tunakuwa machinga Tanzania nzima ili akipita tuwe tunamshangilia.
Mwendazake alikuwa anamawazo primitive sana!
Halafu kwa kuwa kuna watanzania wenzetu wengi ambao mind zao ni primitive walikuwa wanamshabikia!

Kusema ukweli jamaa alikuwa anatupeleka shimoni kabisa na huo uprimitive wake!
 
Mwendazake alikuw shetani kabisa. Yeye raha yake ilikuwa kuona wote tunakuwa machinga Tanzania nzima ili akipita tuwe tunamshangilia.
Hasa ile mipaka ya uchagga na Kenya aliichukia kimamba.
 
Back
Top Bottom