kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,072
- 1,545
Sasa mama ahamie na tunduma / nakonde mpakani na Zambia.....nako kuna figisu figisu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendazake alikuwa anamawazo primitive sana!Mwendazake alikuw shetani kabisa. Yeye raha yake ilikuwa kuona wote tunakuwa machinga Tanzania nzima ili akipita tuwe tunamshangilia.
Hasa ile mipaka ya uchagga na Kenya aliichukia kimamba.Mwendazake alikuw shetani kabisa. Yeye raha yake ilikuwa kuona wote tunakuwa machinga Tanzania nzima ili akipita tuwe tunamshangilia.