johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jiwe aliharibu mahusiano na majirani zetu wahllahiWe hujui kazi ya gesi ya kutoa sumu kuvu?
Aliwapata wengi sana na sasa washakuwa kama mazuzuMwendazake alikuw shetani kabisa. Yeye raha yake ilikuwa kuona wote tunakuwa machinga Tanzania nzima ili akipita tuwe tunamshangilia.
Hiyo mimba ya mwendazake itabidi uizae tuMwendazake alikuw shetani kabisa. Yeye raha yake ilikuwa kuona wote tunakuwa machinga Tanzania nzima ili akipita tuwe tunamshangilia.
Pumbafuu weweMwendazake alikuw shetani kabisa. Yeye raha yake ilikuwa kuona wote tunakuwa machinga Tanzania nzima ili akipita tuwe tunamshangilia.
Hii ni sawa kabisa.Mkulima akivuna asizuiliwe kuuza bidhaa yake ambayo ni mazao katika masoko yanayo mlipa.Waziri wa kilimo Prof Adolf Mkenda amesema hali ni shwari kabisa katika mpaka wetu na Kenya na kwa taarifa za leo hakuna mzigo wowote uliokwama mpakani.
Mkenda amesema watanzania wasiwe na wasiwasi kwani sasa biashara kati yetu na Kenya imeimarika sana labda kuliko wakati mwingine wowote.
Source: ITV habari za saa
Na ule mkataba wa MAYANGA kujenga Chato Airport vipi?Naona Bi Mkubwa aliwapelekea dawa ya kuondoa sumu sijui!??? Nasema uleeeee mkataba wa Gesi una utusitusi kibao!!!
Mtetetzi wa wanyongeeeeMwendazake alikuw shetani kabisa. Yeye raha yake ilikuwa kuona wote tunakuwa machinga Tanzania nzima ili akipita tuwe tunamshangilia.
Ha ha ha jamaa lilikuwa lisanii balaaMtetetzi wa wanyongeeee
Mayanga yupo ICU tangu Doto atolewe hazinaNa ule mkataba wa MAYANGA kujenga Chato Airport vipi?
Tulicheleweshwa sanaWaziri wa kilimo Prof Adolf Mkenda amesema hali ni shwari kabisa katika mpaka wetu na Kenya na kwa taarifa za leo hakuna mzigo wowote uliokwama
AsantePumbafuu wewe
Itabidi zile contracts zote alizopewa zichunguzwe na iangaliwe namna jiwe alivyokua anachukua mgao wake pale.Mayanga yupo ICU tangu Doto atolewe hazina
PumbafHiyo mimba ya mwendazake itabidi uizae tu
Pia inabidi kuangalia upya jinsi alivyopata tenda ya kujenga chato international Airport.Itabidi zile contracts zote alizopewa zichunguzwe na iangaliwe namna jiwe alivyokua anachukua mgao wake pale.