Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ujenzi wa Kampasi za Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya katika Mkoa wa Rukwa ni moja ya mradi unaojengwa chini ya Mradi wa Higher Education for Economic Transformation zinazojengwa katika Mikoa isiyo na Taasisi za Elimu ya Juu kutoa Shahada za Amali.