Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Mzee George Huruma , Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais inayoshughulikia Uawala Bora kwa kweli umetufungua macho.
Nimeona hii clip mahali.
Kuna figisu figisu nyingi za kuchomeana na kubambikiwa kesi zinazoendelea nchini.
Kuna maRC, maDC wanaona raha kumweka mtu ndani ili tu kujimwambafy.
Kumbe waweza kufungua mashtaka ukihisi unaonewa tu.
Big up Mzee Mkuchika