Mkuu ukiwa na moral high ground, kiukweli ni kwamba kama aidha RC au DC ameweka mtu ndani kwa sababu zisizo za kisheria na anaamrisha vyombo " kumfanyizia" mtu ili tu kumnyima mwananchi haki yake, hiyo ni kesi mbaya ambayo hata Ikulu unaweza kubisha hodi na ukasikiliwa.
Kwa kawaida kutokana na uzoefu niliouona , TISS huwa wanatenda haki kabisa na hata RC au DC akiteleza naye anaripotiwa kunakohusika.
Amesema vizuri sana.
Ila tatizo ni kesi ya nyani kupeleka kwa ngedere.
Kama hii sheria hipo na watu wamekuwa wakiivunja na wanajulikana, kwa nini serikali isiwachukulie hatua hao ma dc na ma rc hata kama mtendewahakutoa taarifa ?
Mkuu haki ya mtu siyo playground ya mtu mwingine yeyote.
Wanazuga tu hawa kuwafanya watu mapimbi mbna huyu bashite kashafanya kila aina ya vituko nn amefanywa?
Sent using Jamii Forums mobile app