Historia inaonyesha kuwa ndio kiburi yake hasa anapokuwa na madaraka. Wafanyakazi waliofanya nae kazi kote alikopita wanasema ndo hulka yake na kiburi
Je nani kampa hiyo jeuri ya kutukana!?
Ni rais au pesa?
Apparently Huyu ni mmoja wa watu wachache wanaozaliwa na kijiko cha fedha midomoni mwao.Huyu amebahatika kuwa sehemu nzuri tokea aanze kazi na mwishoni baada ya kustaafu akabahatika kurudi tena uwanjani kikubwa - uwaziri.ulimbukeni wa madaraka.
Hawa ndio wale ambbao hawakuwahi kufikiria watakuja kuwa viongozi hata wa shule ya msingi.
Tulisema huyu Mkulo ni firauni aliyezoea kutongoza vitoto vya shule za sekondari, vitoto sawa na wanawe, sasa mtu asiye na integrity katika hilo unaweza kutegemea awe na simile katika kutukana waandishi wa habari?
I am surprised mpaka leo hajafumuka na scandal ya personal character ya hatari zaidi.
bwahahahahahahaKama unautaalamu wa kuangalia sura ya mtu na kujua ni wa namna gani... Hebu angalia mashavu na ndevu za Bwana huyu Mkulo, zinaashiria kuwa ni "mjinga, mjinga anekaribia upumbavu!!" nakwambia, waulize wataalam kuhusu ndevu zile na mashavu!
I still dont get it
MKULO AMETUKANA?????
Mnasubiri nini sasa? Wanajamii inabidi tukamshtaki kwa kudhalilisha cheo cha uwaziri halafu personal yake itajiumba humohumo.
anyway inaonesha hata kwenye vikao vya baraza la mawaziri anatumialugha aipendayo sana......
kama unautaalamu wa kuangalia sura ya mtu na kujua ni wa namna gani... Hebu angalia mashavu na ndevu za bwana huyu mkulo, zinaashiria kuwa ni "mjinga, mjinga anekaribia upumbavu!!" nakwambia, waulize wataalam kuhusu ndevu zile na mashavu!
nakubali mkuuWow wow wow....taratibu jamani. Yeye siyo mtakatifu na si kiongozi wa kwanza kutumia lugha chafu.
MM,Kama unautaalamu wa kuangalia sura ya mtu na kujua ni wa namna gani... Hebu angalia mashavu na ndevu za Bwana huyu Mkulo, zinaashiria kuwa ni "mjinga, mjinga anekaribia upumbavu!!" nakwambia, waulize wataalam kuhusu ndevu zile na mashavu!
MM,
You nearly broke my ribs today......nimecheka karibia nife kwa comment yako hapo juu!
Sisi wenyendevu kazi ipo mkuu!