Waziri Mkulo na matusi kwa mtangazaji wa redio

Waziri Mkulo na matusi kwa mtangazaji wa redio

HAKIKA MUSTAFA MKULO HANA HULKA YA MATUSI WALA TARBIA MBAYA.

MIMI NIMEFANYA NAYE KAZI IDARA MOJA MIAKA YA 1984 MPAKA 1987 HUKO TANZANIA KABLA YA KWENDA OMAN KUFANYAKAZI.

NI MTU MBUNIFU SANA NA MTU WA KUSHAURIKA. MIMI NIPO NAYE KARIBU MPAKA LEO.

hEBU TAZAMENI NAMNA ALIVYIIINUA NPF SASA NSSF KWA KUWEKEZA KATIKA MAJUMBA. KWANI KINYUME CHAKE INGEKUFA KAMA NIC .

NENO STUPID SIO TUSI. JE MMEWAHI KUONGEA NA PROFESA SHABA NA KUONA ANAVYOLITUMIA NENO HILO
Sasa ndugu yangu barubaru unamuona Profesa mzima yule?

Kwa hiyo unataka kutuambia Mkulo kadata fresh kama Profesa?

Wewe kama rafiki yako tayari unakosa objectivity, utakachosema kinaonekana kama unamtetea rafiki yako tu.
 
Tangu 1985, hakuna mtawala wa nchi hii ameweza kuhojiwa 'live' na wanahabari bila kutoa povu mdomoni au kudhihirisha kuna ombwe ndani ya kichwa chake.

Ndo maana wanaogopa waandishi wa habari (haswa wa nyumbani) kama ukoma.
 
Kwani kuna jipya lipi hapo? Mtu akishalewa madaraka atatuona sisi kama siafu tu! Au sio?
 
Hafai kuwakilisha dhana ya utawala bora akiwa kama kiongozi aliyepewa jukumu la kutetea wananchi walio maskini! Hili ni tatizo la nchi yetu la kulinda watu wasio safi hata pale wanapoonekana wazi kukiuka maadili ya utumishi wa umma hawakuchukuliwi hatua! Kisa wanamtandao au wanaccm.kweli bora kuwa mbwa ulaya kuliko kuwa raia tanzania!
 
hata tukiongea kiasi gani haitasaidia, kufupisha story inayoweza kuwa ndefu, kama huyo mwandishi ana uhakika alitukanwa amshitaki Waziri Mkuu mbele ya baraza la habari au
mahakamani.

whether atashinda au kupoteza kesi ni swala la haki.
 
Mzizi wa mbuyu naungana na wewe..Mkulo is among the ministers ambao hawana kitu kichwani..ujinga mtupu
 
Apparently Huyu ni mmoja wa watu wachache wanaozaliwa na kijiko cha fedha midomoni mwao.Huyu amebahatika kuwa sehemu nzuri tokea aanze kazi na mwishoni baada ya kustaafu akabahatika kurudi tena uwanjani kikubwa - uwaziri.

Ni bahati mbaya sana kama ameweza kutukana maana nimjuavyo ni mtu pleasant mwenye kutabasamu wakati wote.

Hili la DECI nadhani linamshtua ukiangalia kasheshe iliyotokana na sakata hili na hata yeye kidogo auingie mkenge kuizundua jimboni mwake huko Kilosa. Huyo mtangazaji kumuuliza kuhusu DECI ni kama kuongeza chumvi kwenye kidonda.

Kwa hiyo alikuwa na haki ya kutukana kwa kuwa aliongezewa chumvi kwenye kidonda? Kitendo kama hiki kinaonyesha ni jinsi gani huyu Bwana alivyo na IQ ndogo sana. Alishindwaje kujua kwamba hayo anayoyasema yanarekodiwa na kusikika? No wonder uwa anatoa kauli za ajabu ajabu mara pesa za EPA sio za umma, mara Tanzania haitaguswa na mtikisiko wa uchumi wa dunia. Hiki ni kioo cha watendaji makini tulio nao kwenye serikali ya JMK.

Tiba
 
Tangu 1985, hakuna mtawala wa nchi hii ameweza kuhojiwa 'live' na wanahabari bila kutoa povu mdomoni au kudhihirisha kuna ombwe ndani ya kichwa chake.

Ndo maana wanaogopa waandishi wa habari (haswa wa nyumbani) kama ukoma.

Mkuu umenikumbusha juhudi zilizofanywa kukifuta kipindi cha KITI MOTO kwa kuhofia maswali magumu. Kipindi kile kingekuwepo sasa nadhani wengi wangekuwa wanaweka tinted papers kwenye magari yao.
 
Mkuu umenikumbusha juhudi zilizofanywa kukifuta kipindi cha KITI MOTO kwa kuhofia maswali magumu. Kipindi kile kingekuwepo sasa nadhani wengi wangekuwa wanaweka tinted papers kwenye magari yao.

Recta,
Nani alifuta Kiti moto?
 
Kama unautaalamu wa kuangalia sura ya mtu na kujua ni wa namna gani... Hebu angalia mashavu na ndevu za Bwana huyu Mkulo, zinaashiria kuwa ni "mjinga, mjinga anekaribia upumbavu!!" nakwambia, waulize wataalam kuhusu ndevu zile na mashavu!

Tehetehetehetehetehetehetehetehetehe
Yaani nami nusura nivunjike mbavu kwa kucheka.
Lol! Ama kweli JF ni uwanja mpana wa kujifunza mambo mengi.
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha,
Eeeeeeh! Hii kali aisee.
 
HAKIKA MUSTAFA MKULO HANA HULKA YA MATUSI WALA TARBIA MBAYA.

MIMI NIMEFANYA NAYE KAZI IDARA MOJA MIAKA YA 1984 MPAKA 1987 HUKO TANZANIA KABLA YA KWENDA OMAN KUFANYAKAZI.

NI MTU MBUNIFU SANA NA MTU WA KUSHAURIKA. MIMI NIPO NAYE KARIBU MPAKA LEO.

hEBU TAZAMENI NAMNA ALIVYIIINUA NPF SASA NSSF KWA KUWEKEZA KATIKA MAJUMBA. KWANI KINYUME CHAKE INGEKUFA KAMA NIC .

NENO STUPID SIO TUSI. JE MMEWAHI KUONGEA NA PROFESA SHABA NA KUONA ANAVYOLITUMIA NENO HILO

Unaonyesha na wewe ni mjinga kama huyo Mkulo amabaye anawaambie wenzie wajinga

Hujaleta data zozote kusupport arguments zako lakini ukweli unabaki pale pale kuwa contrary to your claim, its Dr Ramadhani Dau ndiye aliyebadilisha NPF...to NSSF kutoka mediocre shirika mpaka kuwa kioo cha mashirika yote ya umma Tanzania.

Sasa kwa sababu huyu Mjinga Mkullo ni swahiba wako basi mwambie akuletee data za kusupport argument kuwa alichokifanya
 
Wee Game Theory,
Si imesemwa, akili ni nywele, kila mtu ana zake? Sasa inakuwaje Mkullo asiwe na akili? Sema labda Akili za Mkullo Hazina Akili.
 
Unaonyesha na wewe ni mjinga kama huyo Mkulo amabaye anawaambie wenzie wajinga

Hujaleta data zozote kusupport arguments zako lakini ukweli unabaki pale pale kuwa contrary to your claim, its Dr Ramadhani Dau ndiye aliyebadilisha NPF...to NSSF kutoka mediocre shirika mpaka kuwa kioo cha mashirika yote ya umma Tanzania.

Sasa kwa sababu huyu Mjinga Mkullo ni swahiba wako basi mwambie akuletee data za kusupport argument kuwa alichokifanya

Hmmm na wewe kwa kumpigia debe dk Dau
 
Hmmm na wewe kwa kumpigia debe dk Dau
bingo-pic2.gif

lol

umegundua eeeh?

yaani unafanya nicheke tuuu

haya bwana
 
Last edited:
Kumtukana Mtangaziji live ni kutangazia ujinga wake...
Hivyo yeye ni professor wa stupidity na ujenzi kwisha kazi hakuna zaidi... Anayepinga ampeleke mahakamani ili mahakama ikamtie muhuli wa ushenzi wake wa kutukana hadhalani bila kujua au kufikiria kwamba baadhi ya wasikilizaji ni watoto...

Sijui kama pia huyo mtangazi alimwambia huyo Mkulo kwamba yuko live Redioni na inabidi awe makini kwa anayosema...
 
Dr dau hakuleta jipya pale NSSF yote yalianzniashwa na mhishimiwa sana mjinga,stupid mkulo dau aliyakuta.Waulizeni wakubwa walokuwa na mkulo pale nssf na sasa wako na dau.Tatizo la mkulo ni matusi pamoja na tabasamu ila mdomo wake umejaa matusi kwa wa chini yake.Alipoondolewa nssf alipauka hadi tukadhani tayari!!!! sasa ushikaji umemsaidia hadi kuwa waziri.Tanzania yetu hiyo hahahahahahahaaaaaaaaaaaa.Unakumbuka JK aliulizwa swali wakati alipopata Urais kuwa itakuwaje kwa wale washkaji wake walokuwa kijiweni akasema atakuwa anachati nao katika simu,ndo hiyo simu hadi uwaziri,hahahahahaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom