Defence attorney kashaingia sasa, maneno yanaombwa verbatim.
sa nyie mmeamua kumjibu kwa niaba ya huyo mtangazaji?Kama unautaalamu wa kuangalia sura ya mtu na kujua ni wa namna gani... Hebu angalia mashavu na ndevu za Bwana huyu Mkulo, zinaashiria kuwa ni "mjinga, mjinga anekaribia upumbavu!!" nakwambia, waulize wataalam kuhusu ndevu zile na mashavu!
Si mtetezi, na mimi nataka kuwa upande wako, nimlaani Mkullo, lakini nijue kwanza, alitamka nini ``wewe shenzi pumbavu mwandishi wewe``? Tunajadili ``matusi`` ya kiongozi, si dhambi tukiulazana, Mkullo katamka nini?
Apparently Huyu ni mmoja wa watu wachache wanaozaliwa na kijiko cha fedha midomoni mwao.Huyu amebahatika kuwa sehemu nzuri tokea aanze kazi na mwishoni baada ya kustaafu akabahatika kurudi tena uwanjani kikubwa - uwaziri.
Ni bahati mbaya sana kama ameweza kutukana maana nimjuavyo ni mtu pleasant mwenye kutabasamu wakati wote.
Hili la DECI nadhani linamshtua ukiangalia kasheshe iliyotokana na sakata hili na hata yeye kidogo auingie mkenge kuizundua jimboni mwake huko Kilosa. Huyo mtangazaji kumuuliza kuhusu DECI ni kama kuongeza chumvi kwenye kidonda.