Waziri Mkuu afurahishwa maendeleo ya ujenzi wa mradi wa umeme mto Rufiji

Waziri Mkuu afurahishwa maendeleo ya ujenzi wa mradi wa umeme mto Rufiji

Wewe unajua maana ya bwawa la umeme! Unafikiri huwa nikutupia pichatu eti!
Haya tupia sasa bwawa la nyumba ya Mungu au Lile la Mtela kama wewe mwanaume.
Nyie mataga, huo mradi ungekuwa umesogea hata kwa hatua moja tu social media zote zingekuwa zimefurika makala za kuonyesha "hayo mafanikio" na "kishindo cha awamu ya tano". Uzi huu peke yake ungekuwa na picha kadhaa zinazoonyesha sehemu zinazojengwa.

Endeleeni kujidanganya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom