Nyie mataga, huo mradi ungekuwa umesogea hata kwa hatua moja tu social media zote zingekuwa zimefurika makala za kuonyesha "hayo mafanikio" na "kishindo cha awamu ya tano". Uzi huu peke yake ungekuwa na picha kadhaa zinazoonyesha sehemu zinazojengwa.
Endeleeni kujidanganya.